Mama mtu mzima ananitaka kimapenzi, ana miaka 34+

Mama mtu mzima ananitaka kimapenzi, ana miaka 34+

Eti jimama la TRA halafu limepanda daladala? Yaani usafiri wa daladala unadhani kila wafanyakazi wanapanda? Uber na Bolts ziko kwa ajili ya watu kama hao na taxi pia sio kila mtu anapanda daladala na kwa mishahara ya TRA ndio kabisa. Mimi mwenyewe sipandagi daladala
 
Sasa 34 n mmama?? Kijana wa hovyo Sana huyu
 
Hivi mbona sisi wababu wanatutaka ila hatujawai kuleta thread

Grow up bhana [emoji57]
Totoz nyingi Kwa sasa mmekua wajanja
Mnakula na kipofu kimya kimya
Babu mnampa nafac yake
Na boychali mnampa nafac yake
 
How old ar u mpk miaka 34 uite jimama? Anafanya kaz tra labda mfagizi maana mpk makarani wana magari...jipange
 
Wakuuu kuna jimama nimekutana nalo juzi kwenye daladala tulikuwa tumekaa siti moja ni jeupe yani pisi Kali sana. Mimi huwa na tabia ya kupendeza kula pamba na kunukia vizuri ndio tabia yangu so jimama limepagawa likaniomba namba Mimi nikampa lilisema tuwe marafiki

Toka jana linanisumbua limeniambia linanipenda linafanya kazi TRA sasa linaniambia niwe nae kimapenzi njtaenjoy hapa ninapoandika limenitumia hela shs elfu 50 limeniambia nitumie tu wikiendi hii ila limesema j3 nikutane nae.

Wakuu nifanyaje?
Sasa miaka 34 ndio jimama?
 
Lina ukimwi hilo
 
Back
Top Bottom