Mama Mulamula umekosea, unasema Ulaya wanatuleteaga vitu vya sumu huku Afrika: Una ushahidi wa hilo?

Huu mpango umesikia ni wa miaka mingapi mkuu? Au ni mpango tu?
 
Hizo ni story za wajinga kwenye vibanda umiza aisee !! Yani wasiweke sumu kwenye vitu vingine waje kwenye hill!?? Basi. Zuien ARV,zuien chanjo za watoto,zuieni ,Dawa za magonjwa yoooooooooote maana zinatoka kwao
 
Mkuu,tukubali tukatae viongozi wetu wana safari kubwa sana katika kuongoza nchi katika zama hizi.Inawezekana ametoa kauli yake hio kwa sababu ya ushamba,ujinga au ujuaji.Ila hizi technolojia za wazungu zinatisha sana.Mfano hio mRNA uliyoweka hapo ina uwezo wa kubadili tabia ya GENES,Maana yake ni kwamba kama wanataka kufanya manipulation ya GENES zetu wanaweza na hatuna utaalam wa kukataa au hata kuthibitisha.Tunachoweza fanya ni kupeleka watoto shule,kuwa extra vigilant katika kila jambo.
 
Hizo ni story za wajinga kwenye vibanda umiza aisee !! Yani wasiweke sumu kwenye vitu vingine waje kwenye hill!?? Basi. Zuien ARV,zuien chanjo za watoto,zuieni ,Dawa za magonjwa yoooooooooote maana zinatoka kwao

Wewe kapuku pull up your stockings.

Sio Wazungu wote wanao mpango huo bali ni akina Billy gates na wenzake, Waafrika wengi tunazo akili za kuvukia barabara tu!!!.
 
Chanjo gani mmetengeneza?
I2; combined-NCD, IB NA POX vaccine( three in one), na vaccines against salmonellosis iko njiani. Kwafaida yako tambua kuwa Sasa team ya wataalam wazalendo iko maabara Ina chekecha covid vaccine
 
Wewe kapuku pull up your stockings.

Sio Wazungu wote wanao mpango huo bali ni akina Billy gates na wenzake, Waafrika wengi tunazo akili za kuvukia barabara tu!!!.
Pamoja na mkanganyiko uliopo back dhana kuwa wazungu hawana Nia njema na nchi maskin haiepukiki, Kuna hoja za msingi zinazojenga hoja:
Kila nchi ianze kutoa chanjo kwa watu wachache;watu kukutwa na mauti Mara baada ya kupokea chanjo; chanjo kuchukua mda mfupi kutengeneza na kuanza kutumika, et cetera.
 
Ungesema "Kumkwepa kwa 100%" haikwepeki nadhani ni sahihi zaidi.

Inawezekana ila siyo kwa asilimia zote.

Hata JIWE alikuwa anawaponda kumbe nyuma ya pazia anaenda na BAKULI kuwapigia magoti kuomba misaada na mikopo.
 
😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
Futa kauli yako, sisi tumeweza kutengeneza chanjo, tunashindwaje kuchambua chanjo?
Chanjo ipi tumetengeneza mkuu?
 
Hata JIWE alikuwa anawaponda kumbe nyuma ya pazia anaenda na BAKULI kuwapigia magoti kuomba misaada na mikopo.
Ni ukweli.

Alichofeli ni kushindwa kufaidika na huo uhusiano na wazungu kwakua stance aliyosimamia ilikua ni ngumu kua na mutual benefit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…