Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Naam!
Ongezea mafyulisi, matobho na sungununu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongezea mafyulisi, matobho na sungununu
Nguniyani mboga ya maharage hii, Yale majani ukiunga karanga matamu sana
Miss much Mbeya
Ila wao wazungu ni ruksa kutuponda sisi?Tunataka kurudisha umoja wa kimataifa then tunazidi kuwaponda "WAZUNGU".
Ila wao wazungu ni ruksa kutuponda sisi?
Wewe chizi unashindwa kutofautisha Aina za biashara hiyo ya vyombo ni biashara yenye manufaa kwako ndio maana unawashukuru na wanazo biashara ambazo hazina manufaa kwako ndugu usiwe mbumbumbu mabeberu hawatupendi wanachojali wao ni faida tu.Mimi hapa kwangu electronics zangu zote hamna hata moja made in Tanzania. Kabla ya kumkataa mzungu basi tukatae na vitu vyao. Kutwa mzungu mzungu lakini vitu unavyovitumia kavitengeneza huyo huyo.
Lkn kwa Clip za wazungu nilizowahi kuziona wao wenyewe wakikosoa chanjo ya Corona kwa Kweli hata mimi nina wasiwasi nao.Nakuona ITV sasa umetoa sentensi hiyo kuwa wzungu wanaleta vitu vya sumu huku afrika deliberately ambayo nina uhakika you can not substantiate. Usitake "kuropoka" kama Jiwe.
Humu ndani hatuna uwezo wa kuhakiki composition ya chanjo maana hata technology iliyotumika kuitengeneza sijui kama tuna scientist ana weledi wa kuichambua. Unaanzia wapi?
![]()
mRNA and the future of vaccine manufacturing
mRNA vaccine production is fast—very fast. What does that mean for traditional methods of vaccine production?www.path.org
Kisa hawezi kudhibitisha basi inakua uongo?Nakuona ITV sasa umetoa sentensi hiyo kuwa wzungu wanaleta vitu vya sumu huku afrika deliberately ambayo nina uhakika you can not substantiate. Usitake "kuropoka" kama Jiwe.
Humu ndani hatuna uwezo wa kuhakiki composition ya chanjo maana hata technology iliyotumika kuitengeneza sijui kama tuna scientist ana weledi wa kuichambua. Unaanzia wapi?
![]()
mRNA and the future of vaccine manufacturing
mRNA vaccine production is fast—very fast. What does that mean for traditional methods of vaccine production?www.path.org
Substantiate please your statementMbona hilo swala la Wazungu kuwaekea sumu wa Africa ni jambo liko wazi tatizo letu wa Africa ni watu tunaosahau mapema sana.
You are right lkn issue ni kuwa deliberately wanatuletea vitu vyenye sumu. Hiyo deliberate anaweza akaithibitisha? Kwa rank ya mulamula asiwe anabwatuka bila ushahidi. Akienda ulaya kwenye vikao akatokea mzungu akamuuliza hilo swali si ataaibika?Lkn kwa Clip za wazungu nilizowahi kuziona wao wenyewe wakikosoa chanjo ya Corona kwa Kweli hata mimi nina wasiwasi nao.
Kweli kabisa,ila Jiwe si wa kumfanyia "reference" kwenye mambo ya msingu. Yule kwenye uchawi,uongo,wizi,utapeli na uuaji ni sahihi.Hata JIWE alikuwa anawaponda kumbe nyuma ya pazia anaenda na BAKULI kuwapigia magoti kuomba misaada na mikopo.
Kutumaliza wote kama walivyofanya Hawaii ni ngumu kwa mazingira ya sasa, isipokuwa wanafanya kutupunguza na kutuwekea elements fulani fulani kwenye vinywaji au vyakula ama madawa ili tukivitumia tudumae miili na akili. Pia wanatuletea magonjwa kama Ebola, AIDS, Cancer ya shingo ya uzanzi na chanjo yake na sasa COVID ili idadi ya waafrika izidi kupungua. Ni mikakati ya miaka 50 - 200 mbele ndiyo maana the late JPM alistukia hizo programme akatuasa tuzidi kufyagiana tuzae kama sungura!Zipo tetesi za mpango wa siri za wazungu kuua Waafrika weusi ili baadaye vizazi vyao vije ku take over ardhi ya Africa, wanatumia njia mbalimbali ikiwemo njia ya Vaccine na Fortifications ya madawa (kampuni ya SANKU) katika unga wa vyakula nk.
Tatizo letu ni kwamba sisi vyombo vyetu vya usimamizi wa mambo ya kiuchunguzi mfano TFDA na TBS au ofisi ya mkemia mkuu havina ueledi mkubwa au ni butu tukiwategemea hao hao tunaowashutumu watusaidie kiutaalamu katika kuchunguza na kukagua dawa wanazotuletea, in that case we are victims.
Vinatoka kwa wazungu. Kuna maziwa ya ya unga toka bondeni yaligundulika yana composition za sumu yakapigwa stop na serikali. Mzee Baba alitutangazia siku moja kuwa kuna chanjo zilikuwa zinatolewa kuzuia cancer kwa wanawake, walikuwa wanapewa hasa watoto wa kike mashuleni, ikaonekana kumbe zinawazuia wasiweze kuwa na uwezo wa kushika mimba wakikua! mambo mengi ya hovyo Mzee baba alikuwa anatudokeza wananchi wake lakini mpaka leo kuna watu hawaelewi wanasubiri fursa za kupigia kwenye machanjo hayo hayo ya kibeberu!Kwani uongo? Hizi cancer na visukari mpaka vya watoto wadogo vinatoka wapi?
Kutumaliza wote kama walivyofanya Hawaii ni ngumu kwa mazingira ya sasa, isipokuwa wanafanya kutupunguza na kutuwekea elements fulani fulani kwenye vinywaji au vyakula ama madawa ili tukivitumia tudumae miili na akili. Pia wanatuletea magonjwa kama Ebola, AIDS, Cancer ya shingo ya uzanzi na chanjo yake na sasa COVID ili idadi ya waafrika izidi kupungua. Ni mikakati ya miaka 50 - 200 mbele ndiyo maana the late JPM alistukia hizo programme akatuasa tuzidi kufyagiana tuzae kama sungura!
Hawa washabiki wa belgiji wana shida sanasema unataka kurudi utumwani
ww na mizungu toka lini mkawa na umoja!?
Kwani polio vaccine twatengeneza wenyewe..? Walishindwa kupitia huko? Chanjo za ndui je? Madawa tunayoagiza nje je? Tujitafakari!!!Zipo tetesi za mpango wa siri za wazungu kuua Waafrika weusi ili baadaye vizazi vyao vije ku take over ardhi ya Africa, wanatumia njia mbalimbali ikiwemo njia ya Vaccine na Fortifications ya madawa (kampuni ya SANKU) katika unga wa vyakula nk.
Tatizo letu ni kwamba sisi vyombo vyetu vya usimamizi wa mambo ya kiuchunguzi mfano TFDA na TBS au ofisi ya mkemia mkuu havina ueledi mkubwa au ni butu tukiwategemea hao hao tunaowashutumu watusaidie kiutaalamu katika kuchunguza na kukagua dawa wanazotuletea, in that case we are victims.
Of all the people sikutegemea mwana diplomasia huyu kuropoka jambo kama hilo bila kuwa na ushahidiNakuona ITV sasa umetoa sentensi hiyo kuwa wzungu wanaleta vitu vya sumu huku afrika deliberately ambayo nina uhakika you can not substantiate. Usitake "kuropoka" kama Jiwe.
Humu ndani hatuna uwezo wa kuhakiki composition ya chanjo maana hata technology iliyotumika kuitengeneza sijui kama tuna scientist ana weledi wa kuichambua. Unaanzia wapi?
![]()
mRNA and the future of vaccine manufacturing
mRNA vaccine production is fast—very fast. What does that mean for traditional methods of vaccine production?www.path.org