Mama Mulamula umekosea, unasema Ulaya wanatuleteaga vitu vya sumu huku Afrika: Una ushahidi wa hilo?

Mama Mulamula umekosea, unasema Ulaya wanatuleteaga vitu vya sumu huku Afrika: Una ushahidi wa hilo?

Mama Yuko right 100% Mtu mweupe hajawai muwazia mema mtu mweusi. Kama unafikiria watu weupe wanatupenda Basi haujabeba kichwa umebeba boga.
 
wote mnarudia kelele zile zile za weusi kwenye mataifa mengine. Nachouliza nchi gani HURU ya kiafrika iliwahi tumiwa madawa ya sumu na watu wakafa? Yaani hizo CDC zina kazi gani?

Hapo ulipo unatumia smartphone ya beberu, shuka la beberu, ulichanjwa yellow fever ili usafiri nje hatusikii kelele ila inapokuja suala la COVID oooh wanataka kutuua? Why wasiwaue kwenye chanjo ya Ebola na yellow fever ama ARV waje kuwaua kwa Astra Zeneca?

Tuache inferior mindset.... Biological warfare is real but counteracting is logical than complaints and vague conspiracy theories!! Ina maana hamuiamini NEMC ama CDC/TFDA?
Smartphone sio ya beberu. Kuna scientist weusi wamechangia kiasi kikubwa sana kuvumbua technologia ya mawasiliano. Huwa hawatangazwi. Lakini nenda google uliza " black scientist" uone discovery ndo utashangaa. Unaambiwa hata electric bulb inayosemekana amevumbua edison sio yeye alivumbua. Ni mtu mweusi. Pia kuna lift, train engine, na mengine mengi ambayo kila wanapovumbua sifa zinaenda kwa wamiliki wa kampuni
 
Wewe unashangaza sana, huyo mzungu si ndiye aliyekuja huku Africa akadanganya babu yako na akamtawala, kumdhalilisha na kumnyonya au umesahau???-- hawa wazungu waliopo leo na sie Waafrica tuliopo leo sio Vitukuu vya Wanyonyaji na Wanyonywaji???.

Hebu niambie zama zile za mababu zetu na mababu zao ni sawa na zama hizi???, zama hizi ni za kisasa hivyo unyonyaji na unyanyasaji tutakaofanyiwa/tunaofanyiwa na hawa vitukuu vya Wakokoni dhidi ya sisi vitukuu vya waliotawaliwa ni lazima uwe wa kisasa zaidi kulingana na zama hizi zilizopo, walianza kuweka serikali za vibaraka mara baada ya nchi zetu kupata "uhuru", sasa zama za vibaraka zimeisha na wao ni lazima wapate malighafi kutoka kwetu sasa wafanyeje???, nji mojawapo ni hiyo ya kuleta Vaccines (slow killing poisons) zinazofubaza akili, zinazoua via vya uzazi vya watoto wetu, dawa za uzazi wa mpango zinazoua mayai ya akina mama zetu, madawa ya virutubisho (Sumu) yanayowekwa kwenye vyakula kama unga wa sembe na unga wa ngano, kampuni inayohusika na jambo hili ipo katika East, central and southern Africa regions maeneo yote haya wanaishi Waafrika weusi na ni maeneo yenye utajiri mkubwa wa malighafi kama madini nk, Tunauawa softly and slowly tukija kutahamaki it will be too late.

Kwakuwa wazungu wako mbele.kimaendeleo kutuzidi basi ndio watu wema???, kwakuwa natumia simu waliounda wao basi hiyo ni ishara kwamba wao ni watakatifu???--- that's nonsensical .
Acheni inferiority complex mbona wachina hawalalamiki? Wanajitegemea kwenye almost kila kitu mpka chanjo ila sisi tumekaa kulaumu mzungu tu ilihali tunawategemea kwa kila kitu.

Sasa unadai chanjo zinatuua? Ili iweje? Kwani mzungu akitaka kuchimba madini Tanzania au DRC ni mpaka atuue kwa chanjo? Si mikataba halali anapewa tena kwa kuhonga mawaziri vi dola vichache tu ssa why circumlocuting the long path.

Tuache kujitapa wazungu wana njia elfu 1 za kutuua hawahitaji kusubiri mpaka chanjo ya Corona. Maana ni uzembe kuna TFDA/NEMC alafu wanashindwa kudetect kma chanjo ina sumu? Then hapo kosa ni la beberu au sie waafrika wenyewe wanasayansi wasiojua hta kutengeneza panadol?

Tuache kulialia tujitegemee tuone nani atatuonea
 
Wewe akili (-1) negative 1, sikiliza, Wazungu wanataka raslimali zetu, angalia Katika Africa Congo ndiyo nchi kubwa sana kuliko nchi zote huko kuna madini ya kila aina, Shaba, Almasi, Dhahabu, Colbart, Coltan, Uranium,Bati, zinc, Platinum, Mbao, kasoro Tanzanite tu ndio hakuna, Congo Drc ni nchi isiyokuwa na amani tangu ipate uhuru kutoka kwa Belgium hadi leo ni vurugu tupu hasa katika maeneo yenye utajiri wa madini, huko Wazungu (makampuni ya kizungu) hutoa fedha nyingi kufadhili sikaha makundi ya wapiganaji ili kuleta taharuki na nafasi ipatikane ili wapate malighafi ya madini kwa njia za haramu kupitia hayo makundi ya kijeshi anbayo viongizi wao ndio wanaomiliki migodi haramu, isitoshe ili wapate madini kirahisi wanachofanya wazungu ni kutawanya virusi vya Ebola katika maeneo yenye utajiri ili ama kuleta taharuki na hofu au kuwafanya watu wajali afya zao na wasijishughulishe na mambo yanayohusu madini au kukimbiza watu kutoka katika yale maeneo wanayoyaona kuwa na madini mengi na watu wakishaondoka hapo baadaye uchimbaji haramu huuanza na wanunuzi wakubwa wa hayo madini ni hayo makampuni makubwa ya Ulaya na America.

Kwanini so far chanjo ya Ebola bado haijapatikana lakini chanjo ya Covid 19 tayari zipo??, Ebola imekuwepo miaka mingi tangu 1976 kabla ya Covid 2019!!, Ebola ni Economic Warfare iliyotengenezwa na Wazungu kuua raia wa Congo ili kuleta taharuki wapate kuiba mali za Congo, Mungu kajalia Tz hatuna mali nyingi kama Congo vinginevyo hata sisi tungetupiwa Virusi wa Ebola ili wapate kutudhoofisha na Waibe mali zetu kirahisi au hata wangetuletea vita kama ilivyo kwa Congo.

Ukilinganisha population ya Wazungu (Europeans) na waafrika weusi, Wazungu ni wengi kwa idadi kuliko watu weusi achilia mbali Wachina, Wahindi na Waarabu nk, Wao hawazaliani sana kama sisi Watu weusi kwa maana hiyo wameshikwa na khofu kubwa kwamba katika miaka ijayo tutawazidi kwa idadi na ikifikia hatua hiyo kamwe hawatatuweza tena kututawala kisiasa na kiuchumi hivyo njia rahisi ya kupunguza kasi yetu ya kuzaliana ni kutuletea vidonge vya uzazi wa mpango (kumbuka wanawake zao hawatumia hivyo vidonge kwakuwa ni sumu waliyoitengeneza kwa ajili ya Muafrika mweusi) pia wametuletea chanjo kwa watoto wetu, chanjo za Magonjwa ya ajabu ambayo hapo zamani wala hayakuwepo, magonjwa waliyoyatengeneza kama Kifaduro, Tetekuwanga, Dondakoo, Pepopunda, Surua, polio nk, na hizo chanjo zilikuwa zinatolewa kwa watoto wetu kwa maramoja, huko India ilipelekwa "Chanjo ya polio" kumbe sio chochote isipokuwa Sumu na watoto wengi sana walikufa na walionusurika hadi leo ni walemavu, lengo lao ni hilo hilo kupunguza idadi yetu ili wapate kutawala kiuchumi nchi zetu hasa za ulimwengu wa tatu.

Mzungu akiwa nyoka ni nyoka kwelikweli na akiwa binadamu ni binadamu hasa, kumbuka Adolf Hitler, sasa tusijisahau tukadhani wazungu wote ni binadamu kwetu.
Yawezekana hata ebola haipo. Yawezekana ni kitu kingine kinakua introduced kwa jina la fake ebola. Yahitaji umakini
 
Mimi naona tuwaache kwanza tuone mwisho wao maana wamejaribu kupitia mlangoni moto ukalipuka sasa wanajaribu kupita dirishani.Tanzania kuna mambo mengi yamekwama nje ya chanjo lakini pia wakitaka kutudhuru wanaweza kupitia njia nyingine mbona kila kitu nichawazungu?
Iyo roho isipowatoka watakufa kama Mfalme Sauli wataisha wote.
 
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Futa kauli yako, sisi tumeweza kutengeneza chanjo, tunashindwaje kuchambua chanjo?
Chanjo yenyewe ni ile ya mapapai?
 
Kweli mama waambie ukweli, Ubelgiji imemfanya Kamanda wetu kuwa ndondocha! eti "the very dark guy, died due to covid"
 
Nakuona ITV sasa umetoa sentensi hiyo kuwa wzungu wanaleta vitu vya sumu huku afrika deliberately ambayo nina uhakika you can not substantiate. Usitake "kuropoka" kama Jiwe.
Humu ndani hatuna uwezo wa kuhakiki composition ya chanjo maana hata technology iliyotumika kuitengeneza sijui kama tuna scientist ana weledi wa kuichambua. Unaanzia wapi?

Mwache afunguke, mwana diplomasia wa siku nyingi sana, labda kabla hujapata fahamu na mambo ya kimataifa, anajuwa anachokiongea, msikilize na amuwa, ila usitake afunge mdomo ndugu, zama hizi ni hatari kuliko za nyuma, wengine tunakubaliana na yeye, mzungu siyo binadamu mzuri hata kidogo, wenye masikio na macho wamsikie na kusoma asemacho huyu mama, shauri yao wanaowakumbatia wazungu kitakachowapata na kizazi chao watajuta
 
Zipo tetesi za mpango wa siri za wazungu kuua Waafrika weusi ili baadaye vizazi vyao vije ku take over ardhi ya Africa, wanatumia njia mbalimbali ikiwemo njia ya Vaccine na Fortifications ya madawa (kampuni ya SANKU) katika unga wa vyakula nk.

Tatizo letu ni kwamba sisi vyombo vyetu vya usimamizi wa mambo ya kiuchunguzi mfano TFDA na TBS au ofisi ya mkemia mkuu havina ueledi mkubwa au ni butu tukiwategemea hao hao tunaowashutumu watusaidie kiutaalamu katika kuchunguza na kukagua dawa wanazotuletea, in that case we are victims.
Hii nayo ni dhahania tu..ushawahi kwenda kupima weledi wa hivyo vyombo vyetu lakini? Hivi nini kizazi cha 1990's mnashida gani lakini???
 
Nakuona ITV sasa umetoa sentensi hiyo kuwa wzungu wanaleta vitu vya sumu huku afrika deliberately ambayo nina uhakika you can not substantiate. Usitake "kuropoka" kama Jiwe.
Humu ndani hatuna uwezo wa kuhakiki composition ya chanjo maana hata technology iliyotumika kuitengeneza sijui kama tuna scientist ana weledi wa kuichambua. Unaanzia wapi?

Mkuu unataka tukuamini wewe kuliko balozi ambaye kakaa na hao mabeberu miaka kibao na anawajua tabia zao sasa wewe mwenzangu ambaye sijui ni mbeba box au mla vumbi unaleta ligi,sijui kama itakusaidia haya balozi kesha sema sasa wewe nenda ITV katengua hayo aliyoyasema,kwa kifupi akina Bill Gates si watu wazuri hata kidogo wao hutumia pesa zao kufanya tafiti mbalimbali kama hizi za virusi ili baadae watawale ulimwengu na kututoa kwenye mstari.
 
Bwana weeeeeehh tutakufa kama siafu wanaokatisha barabara wakakanyagwa na gari?? Kuchukia wenye akili haiwezi kufuta ujinga wa mtu.. ukipata malaria unakimbilia dawa zao🤣🤣🤣 ukipona wanatuletea sumu🏃🏃🏃
Zipo tetesi za mpango wa siri za wazungu kuua Waafrika weusi ili baadaye vizazi vyao vije ku take over ardhi ya Africa, wanatumia njia mbalimbali ikiwemo njia ya Vaccine na Fortifications ya madawa (kampuni ya SANKU) katika unga wa vyakula nk.

Tatizo letu ni kwamba sisi vyombo vyetu vya usimamizi wa mambo ya kiuchunguzi mfano TFDA na TBS au ofisi ya mkemia mkuu havina ueledi mkubwa au ni butu tukiwategemea hao hao tunaowashutumu watusaidie kiutaalamu katika kuchunguza na kukagua dawa wanazotuletea, in that case we are victims.
 
Wazungu wameleta ukimwi tukaipiga vita na kujikinga,wakaleta afrika ebola tumedhibiti,mara mafua ya ndege,kimeta,kensa,red eyes,sasa corona ili wauze kinga duniani.
This is bullshit ukisema wanaleta sumu ni njia mojawapo ya kusema ni ukweli why RVs zinapunguza makali ya HIV ila haitibu ukimwi.
Nadawa zingine unakuta ni Mungu anasaidia tu.
Wazungu hujipenda wao kwa hiyo usipende kuwatetea hao.
Wanachuki na chuki huzaa roho mbaya,ukishakuwa na hizi mbili basi .
1.huogopi kutenda maovu
2.hushurutishwi kuuwa ,kuangamiza,kuharibu.
Hujui wazungu ukija,wajua dunia imekqata.
Siku hizi umejifunza kuandika vizuri mama julian
 
Back
Top Bottom