Mama Mulamula umekosea, unasema Ulaya wanatuleteaga vitu vya sumu huku Afrika: Una ushahidi wa hilo?

Mama Mulamula umekosea, unasema Ulaya wanatuleteaga vitu vya sumu huku Afrika: Una ushahidi wa hilo?

sema unataka kurudi utumwani
ww na mizungu toka lini mkawa na umoja!?
Mokaze

Ila hii nchi bwana Hahahhaa sasa mzungu aue waafrika kwa lipi hasa? Kwamba sahvi hawezi kujichukulia ardhi Africa mpaka awaue? Yaani wenzio wanawaza kuhamia Mars na kujenga man made islands na smart cities za sky scrappers ndio awaze kuja kuishi Africa?

Shida waafrika hatujiamini tunajiona victims wa kila kitu.... Cha kushangaza mnaandika huu upupu kutumia simu zao na hata mioyo yetu inawekewa mashine zao kupush damu!!

Funny
 
Mbona hilo swala la Wazungu kuwaekea sumu wa Africa ni jambo liko wazi tatizo letu wa Africa ni watu tunaosahau mapema sana.
Ikiwemo smartphone unayotumia, bombardier mlizonunua, Defibrillator za kusukuma moyo..... Ama ni kwenye vyakula tu?

Hzi conspirancy ni level ya FB sio JF
 
Zipo tetesi za mpango wa siri za wazungu kuua Waafrika weusi ili baadaye vizazi vyao vije ku take over ardhi ya Africa, wanatumia njia mbalimbali ikiwemo njia ya Vaccine na Fortifications ya madawa (kampuni ya SANKU) katika unga wa vyakula nk.

Tatizo letu ni kwamba sisi vyombo vyetu vya usimamizi wa mambo ya kiuchunguzi mfano TFDA na TBS au ofisi ya mkemia mkuu havina ueledi mkubwa au ni butu tukiwategemea hao hao tunaowashutumu watusaidie kiutaalamu katika kuchunguza na kukagua dawa wanazotuletea, in that case we are victims.
Sasa mpango wa siri ndio uujue mpaka wewe halafu useme SIRI? Au ulikuwa unamaanisha nini!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kwani polio vaccine twatengeneza wenyewe..? Walishindwa kupitia huko? Chanjo za ndui je? Madawa tunayoagiza nje je? Tujitafakari!!!

Kumbuka tunaposema Wazungu ni wabaya hatuna maana ni wazungu WOTE wabaya wapo ni waxuri na wanao ubinadamu haswa na hata tunaposema Waafrika ni wajinga hatuna maana kwamba Waafrika WOTE ni wajinga, basi ndugu tafakari sana usiwe miongoni mwa waafrika wasiojitambua.

Mtoto wa nyoka ni nyoka walisema wahenga. Wale wazungu waliotutawala hapo zamani ndio mababu wa hawa wazungu wa leo basi maji hufuata mkondo yawezekana mikondo ikawa tofauti kulingana na wakati, wakati huu mkondo wa Wazungu wa leo ni kutaka kupora kabisa ardhi ya waafrika sio ule mkondo wa mababu zao wa kutawala na kuinyonya Afrika hizi ni zama mpya za ukoloni mpya.

Tafakari ewe Muafrika.
 
Zipo tetesi za mpango wa siri za wazungu kuua Waafrika weusi ili baadaye vizazi vyao vije ku take over ardhi ya Africa, wanatumia njia mbalimbali ikiwemo njia ya Vaccine na Fortifications ya madawa (kampuni ya SANKU) katika unga wa vyakula nk.

Tatizo letu ni kwamba sisi vyombo vyetu vya usimamizi wa mambo ya kiuchunguzi mfano TFDA na TBS au ofisi ya mkemia mkuu havina ueledi mkubwa au ni butu tukiwategemea hao hao tunaowashutumu watusaidie kiutaalamu katika kuchunguza na kukagua dawa wanazotuletea, in that case we are victims.
Yaani wazungu wauewe waafrica wote ili waje kutawala tena? Hivi akili sifuri kama hizi mnatoa wapi jamani.
 
Ikiwemo smartphone unayotumia, bombardier mlizonunua, Defibrillator za kusukuma moyo..... Ama ni kwenye vyakula tu?

Hzi conspirancy ni level ya FB sio JF
Hawa ni black Americans na wa Afrika Kusini.. Maovu waliyo wahi kufanyiwa na wazungu..

1ADB7E75-227C-4E7C-BBB6-3ACD692759F8.jpeg

77986CA9-BDE5-4907-A4E3-86A4372BD3F3.jpeg

543A5446-8DA2-4BD6-8C74-5C8A460DD9DC.jpeg
 
Sasa mpango wa siri ndio uujue mpaka wewe halafu useme SIRI? Au ulikuwa unamaanisha nini!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ni kweli hakuna kitu kama hicho Mpango wa siri Ila inakuwa kwa mhusika mwenyewe Kama alikosana nao wakawa wanamuwinda hivyo si kusemea wote wanawindwa.
 
Mkuu,tukubali tukatae viongozi wetu wana safari kubwa sana katika kuongoza nchi katika zama hizi.Inawezekana ametoa kauli yake hio kwa sababu ya ushamba,ujinga au ujuaji.Ila hizi technolojia za wazungu zinatisha sana.Mfano hio mRNA uliyoweka hapo ina uwezo wa kubadili tabia ya GENES,Maana yake ni kwamba kama wanataka kufanya manipulation ya GENES zetu wanaweza na hatuna utaalam wa kukataa au hata kuthibitisha.Tunachoweza fanya ni kupeleka watoto shule,kuwa extra vigilant katika kila jambo.
Ni kweli Balozi Mulamula kasema hivyo? Maneno yake verbatim yako wapi?

Nilifikiri viatu vya Dr. Mahiga vimepata mtu wa kuvivaa vikamtosha, kumbe inawezekana bado sana.

Huyu Mama alisifiwa sana alivyokuwa Marekani, lakini, kama kweli kasema haya maneno, kwa kauli hizi undiplomatic bado sana hajaweza kumfikia nguli Dr. Augustine Philip Mahiga.

Kuna sababu gani strategic ya kusema hivyo nje ya cheap politics tu?
 
She is an international diplomat with a very long CV .na ameshafanya kazi na kufundisha chuo Marekani. Maybe lend an ear
 
Hawa ni black Americans na wa Afrika Kusini.. Maovu waliyo wahi kufanyiwa na wazungu..

View attachment 1745970

View attachment 1745971

View attachment 1745972
Hakuna anayekataa kuwa Wazungu hawajawahi kufanya maovu kwa watu weusi nachopinga ni kuja na cheap theories sijui Vaccination ianzishwe ili kuua waafrika ilihali mnatumia ARV,Polio,Insulin, CT scan n.k zinazotengenezwa na hao mabeberu sasa swali linakuja kma mmeamua kususia chanjo suseni kila kitu sio mnachagua vya kupinga ni unafikia.

NB: Kuhusu majarifa uliyoweka yanaonyesha weusi waliokua chini ya ncho za utawala wa wazungu. Ila sijaona hapo nchi huru iliyotumiwa sumu ili kuwaua maana kuna NEMC/TFDA/TBS kazi zao ni nni ssa kma hawawezi detect sumu?
 
Mimi hapa kwangu electronics zangu zote hamna hata moja made in Tanzania. Kabla ya kumkataa mzungu basi tukatae na vitu vyao. Kutwa mzungu mzungu lakini vitu unavyovitumia kavitengeneza huyo huyo.
Alafu hata hizo elimu zao utaskia master of science china mara marekani mara canada yani hiyo elimu yenyewe wanakupa wao leo uwapinge none sense kabisa
 
Nampa moja kuhusu waIsrael walivowawekea wahamiaji wa Ethiopia sumu ili wanawake wao wawe matasa badae wasizaliane...People need to research asee
wote mnarudia kelele zile zile za weusi kwenye mataifa mengine. Nachouliza nchi gani HURU ya kiafrika iliwahi tumiwa madawa ya sumu na watu wakafa? Yaani hizo CDC zina kazi gani?

Hapo ulipo unatumia smartphone ya beberu, shuka la beberu, ulichanjwa yellow fever ili usafiri nje hatusikii kelele ila inapokuja suala la COVID oooh wanataka kutuua? Why wasiwaue kwenye chanjo ya Ebola na yellow fever ama ARV waje kuwaua kwa Astra Zeneca?

Tuache inferior mindset.... Biological warfare is real but counteracting is logical than complaints and vague conspiracy theories!! Ina maana hamuiamini NEMC ama CDC/TFDA?
 
Tuache inferior mindset.... Biological warfare is real but counteracting is logical than complaints and vague conspiracy theories!! Ina maana hamuiamini NEMC ama CDC/TFDa

wote mnarudia kelele zile zile za weusi kwenye mataifa mengine. Nachouliza nchi gani HURU ya kiafrika iliwahi tumiwa madawa ya sumu na watu wakafa? Yaani hizo CDC zina kazi gani?

Hapo ulipo unatumia smartphone ya beberu, shuka la beberu, ulichanjwa yellow fever ili usafiri nje hatusikii kelele ila inapokuja suala la COVID oooh wanataka kutuua? Why wasiwaue kwenye chanjo ya Ebola na yellow fever ama ARV waje kuwaua kwa Astra Zeneca?

Tuache inferior mindset.... Biological warfare is real but counteracting is logical than complaints and vague conspiracy theories!! Ina maana hamuiamini NEMC ama CDC/TFDA?
Umechukulia my post out of context.the guy wanted an example,I gave him one..an inferior mindset is that which is not inquisitive. And nimeeleza Sana hii Habari, I am not anti vaxx ,I am just skeptical about a vaccine that was mass produced under relaxed rules and doesn't protect you against all variants..CDC na FDA za Marekani reduced the rules of approval of a vaccine from 5 years to months just to pass this vaccine..In a sense I get it b'se the world is still in shock,but when you go about silencing a vaccine-skeptics in the media and all social media platforms,what does that tell you!? Halafu usi+lump kila mtu mwenye mawazo tofauti na ww kwenye kikundi kimoja ,that tells me you see the world in black and white and forget there is grey.unafikiri wote ni "walewale tunaoita wazungu 'mabeberu' " ,usidhani wote akili zetu ni sawa
P.S: This is the link bro...have a look.
 
Yaani wazungu wauewe waafrica wote ili waje kutawala tena? Hivi akili sifuri kama hizi mnatoa wapi jamani.

Wewe akili (-1) negative 1, sikiliza, Wazungu wanataka raslimali zetu, angalia Katika Africa Congo ndiyo nchi kubwa sana kuliko nchi zote huko kuna madini ya kila aina, Shaba, Almasi, Dhahabu, Colbart, Coltan, Uranium,Bati, zinc, Platinum, Mbao, kasoro Tanzanite tu ndio hakuna, Congo Drc ni nchi isiyokuwa na amani tangu ipate uhuru kutoka kwa Belgium hadi leo ni vurugu tupu hasa katika maeneo yenye utajiri wa madini, huko Wazungu (makampuni ya kizungu) hutoa fedha nyingi kufadhili sikaha makundi ya wapiganaji ili kuleta taharuki na nafasi ipatikane ili wapate malighafi ya madini kwa njia za haramu kupitia hayo makundi ya kijeshi anbayo viongizi wao ndio wanaomiliki migodi haramu, isitoshe ili wapate madini kirahisi wanachofanya wazungu ni kutawanya virusi vya Ebola katika maeneo yenye utajiri ili ama kuleta taharuki na hofu au kuwafanya watu wajali afya zao na wasijishughulishe na mambo yanayohusu madini au kukimbiza watu kutoka katika yale maeneo wanayoyaona kuwa na madini mengi na watu wakishaondoka hapo baadaye uchimbaji haramu huuanza na wanunuzi wakubwa wa hayo madini ni hayo makampuni makubwa ya Ulaya na America.

Kwanini so far chanjo ya Ebola bado haijapatikana lakini chanjo ya Covid 19 tayari zipo??, Ebola imekuwepo miaka mingi tangu 1976 kabla ya Covid 2019!!, Ebola ni Economic Warfare iliyotengenezwa na Wazungu kuua raia wa Congo ili kuleta taharuki wapate kuiba mali za Congo, Mungu kajalia Tz hatuna mali nyingi kama Congo vinginevyo hata sisi tungetupiwa Virusi wa Ebola ili wapate kutudhoofisha na Waibe mali zetu kirahisi au hata wangetuletea vita kama ilivyo kwa Congo.

Ukilinganisha population ya Wazungu (Europeans) na waafrika weusi, Wazungu ni wengi kwa idadi kuliko watu weusi achilia mbali Wachina, Wahindi na Waarabu nk, Wao hawazaliani sana kama sisi Watu weusi kwa maana hiyo wameshikwa na khofu kubwa kwamba katika miaka ijayo tutawazidi kwa idadi na ikifikia hatua hiyo kamwe hawatatuweza tena kututawala kisiasa na kiuchumi hivyo njia rahisi ya kupunguza kasi yetu ya kuzaliana ni kutuletea vidonge vya uzazi wa mpango (kumbuka wanawake zao hawatumia hivyo vidonge kwakuwa ni sumu waliyoitengeneza kwa ajili ya Muafrika mweusi) pia wametuletea chanjo kwa watoto wetu, chanjo za Magonjwa ya ajabu ambayo hapo zamani wala hayakuwepo, magonjwa waliyoyatengeneza kama Kifaduro, Tetekuwanga, Dondakoo, Pepopunda, Surua, polio nk, na hizo chanjo zilikuwa zinatolewa kwa watoto wetu kwa maramoja, huko India ilipelekwa "Chanjo ya polio" kumbe sio chochote isipokuwa Sumu na watoto wengi sana walikufa na walionusurika hadi leo ni walemavu, lengo lao ni hilo hilo kupunguza idadi yetu ili wapate kutawala kiuchumi nchi zetu hasa za ulimwengu wa tatu.

Mzungu akiwa nyoka ni nyoka kwelikweli na akiwa binadamu ni binadamu hasa, kumbuka Adolf Hitler, sasa tusijisahau tukadhani wazungu wote ni binadamu kwetu.
 
Kwani polio vaccine twatengeneza wenyewe..? Walishindwa kupitia huko? Chanjo za ndui je? Madawa tunayoagiza nje je? Tujitafakari!!!

Tujitafakari kwa kuanzisha vyombo vyetu Wenyewe vya uchunguzi kwani sio kila chanjo inayoletwa huku huwa nia salama, wakati mwingine wazungu wanapokuwa wanafanya tafiti za dawa zao huzileta huku kwetu kwa ajili ya majaribio (clinical trial) kwa jina la uongo chini ya corrupt WHO kwamba hizo ni dawa zilizothibitika kwamba ni salama kwa matumizi ya binadamu wakati ni uongo na hapo tunafanywa kama laboratory rat (Guinea pigs).
 
Vaccines zote za watoto zinatok huko na bado watoto wanaozitumia ukubwani hawana tatizo wanazaa etc etc. Achana na rubbish theories

Kwa maelezo yako inaonekana uliathirika na chanjo za wazungu ulizochanjwa ulipokuwa mtoto.

Inaonekana hujitambui utu wako upoupo tu. Toka lini mzungu akampenda mtu mweusi???, Nenda youtube angalia chanel ya "Goblack2africa", huyo ni Muamerica mweusi aliyekuwepo bongo akiwahimiza Waamerica weusi wenzake warudi Africa/mother land ili kuondokana na adha ya kunyanyaswa, kubaguliwa, kudhulumiwa, kuuawa (kumbuka kisa cha George Floyd) nk, na Watu weupe, walinyanyaswa toka mababu zao waliochukukiwa utumwani kutoka Africa, Wazungu sio wote wanamuona Mtu mweusi kama nusu mtu, Makaburu wa Africa kusini wao hawakuwa wanafiki na Waoga, wao waliitangazia dunia kwamba siasa zao zitakuwa za kibaguzi (Apatheid system), tofauti na Wazungu wengine ambao siasa zao zilikuwa za ubaguzi na ukandamizaji wa kimyakimya dhidi ya mtu mweusi na hadi leo hii wanafanya unyama wa kimyakimya dhidi ya watu weusi unyama huo ni mbaya mno kuliko unyama wa Ubaguzi wa Makaburu ambao ulikuwa upo wazi na ilikuwa ni rahisi kupambana nao.
 
Back
Top Bottom