Mama Mulamula umekosea, unasema Ulaya wanatuleteaga vitu vya sumu huku Afrika: Una ushahidi wa hilo?

Mama Mulamula umekosea, unasema Ulaya wanatuleteaga vitu vya sumu huku Afrika: Una ushahidi wa hilo?

Zipo tetesi za mpango wa siri za wazungu kuua Waafrika weusi ili baadaye vizazi vyao vije ku take over ardhi ya Africa, wanatumia njia mbalimbali ikiwemo njia ya Vaccine na Fortifications ya madawa (kampuni ya SANKU) katika unga wa vyakula nk.

Tatizo letu ni kwamba sisi vyombo vyetu vya usimamizi wa mambo ya kiuchunguzi mfano TFDA na TBS au ofisi ya mkemia mkuu havina ueledi mkubwa au ni butu tukiwategemea hao hao tunaowashutumu watusaidie kiutaalamu katika kuchunguza na kukagua dawa wanazotuletea, in that case we are victims.
Mawazo mfu Sana are human being????
 
Bwana weeeeeehh tutakufa kama siafu wanaokatisha barabara wakakanyagwa na gari?? Kuchukia wenye akili haiwezi kufuta ujinga wa mtu.. ukipata malaria unakimbilia dawa zao🤣🤣🤣 ukipona wanatuletea sumu🏃🏃🏃


Katika hao wenye akili kuna wema na wabaya, mimi nazungumzia hao wabaya.

Sio kila king'aacho ni dhahabu, Wahenga walisema.
 
Back
Top Bottom