Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Walishindwa kuua kipindi cha ukoloni leo watake kukuua?
1961 tulikuwa watu wangapi TZ? na leo tupo zaidi ya milion 50
Hizo taarifa siyo kweli. Ingekuwa hivyo wangeanza na wafrika wanaoishi kwenye nchi zao
1961 tulikuwa watu wangapi TZ? na leo tupo zaidi ya milion 50
Hizo taarifa siyo kweli. Ingekuwa hivyo wangeanza na wafrika wanaoishi kwenye nchi zao
Zipo tetesi za mpango wa siri za wazungu kuua Waafrika weusi ili baadaye vizazi vyao vije ku take over ardhi ya Africa, wanatumia njia mbalimbali ikiwemo njia ya Vaccine na Fortifications ya madawa (kampuni ya SANKU) katika unga wa vyakula nk.
Tatizo letu ni kwamba sisi vyombo vyetu vya usimamizi wa mambo ya kiuchunguzi mfano TFDA na TBS au ofisi ya mkemia mkuu havina ueledi mkubwa au ni butu tukiwategemea hao hao tunaowashutumu watusaidie kiutaalamu katika kuchunguza na kukagua dawa wanazotuletea, in that case we are victims.