Mama Mulamula umekosea, unasema Ulaya wanatuleteaga vitu vya sumu huku Afrika: Una ushahidi wa hilo?

Mawazo mfu Sana are human being????
 
Bwana weeeeeehh tutakufa kama siafu wanaokatisha barabara wakakanyagwa na gari?? Kuchukia wenye akili haiwezi kufuta ujinga wa mtu.. ukipata malaria unakimbilia dawa zao🤣🤣🤣 ukipona wanatuletea sumu🏃🏃🏃


Katika hao wenye akili kuna wema na wabaya, mimi nazungumzia hao wabaya.

Sio kila king'aacho ni dhahabu, Wahenga walisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…