Mama mwenye hali ngumu anakaa na binti mdogo mjamzito ambaye sio ndugu yake

Ndiomana una Roho mbovu
 
...Abarikiwe Sana [emoji257]...
 
Nasemaga kila siku humu, wazaramo pamoja na mapungufu yao ila, Kama kuna kitu wamefanikiwa ni kutokuwa na stress, huwa wanaridhika na vitu vidogo sana kwenye maisha
Na wanashikamana sana kwenye shida na raha. Akilazwa mmojawao watataarifiana ukoo mzima wanachangishana hiki na kile. Nilihamia mahali na mwanangu alikuwa anapata komunio, nikawa naumiza kichwa nitafanyaje na ugeni huu sijazoea watu... Jirani mmoja Mzaramo nadhani alihisi nina hiyo changamoto, akaja akasema tuachie kila kitu wewe peleka mtoto kanisani, akatafuta majirani wakapika. Wazaramo hoiyeeeeee
 
Mungu kawanyima utajiri wa mali ila amewapa utajiri wa roho. Hakika ni watu wema sana.
 

Mkuu kutoa ni moyo wala sio utajiri
 
Kuna watu wana roho nzuri tu. Hata mimi kuna siku binti mmoja alichelewa kurudi kwao usiku akakuta wamefunga ikabidi aje anigongee mimi nimpe hifadhi hadi asbh. Nilimwonea sana huruma na kumruhusu aingie alale.
Mkeo alikuwepo mkuu??..
 
Hongera sana dada yangu..
 
me kumic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…