''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

asante sana!
wanawake kama wewe ndio ninaopenda waendelee kuwepo duniani.....
hapa wewe hoja ni KUTUMIA HELA YA NANI

hata nikifanyaje kama wa kutoka atatoka tu....so bora bac atumikie jasho lake!
 
Nyamayao hawa wadada wengine wa nje wakifuatwa na mume wa mtu kwanini hawawezi kuresist kabisa?????
 
hata nikifanyaje kama wa kutoka atatoka tu....so bora bac atumikie jasho lake!
AHSANTE...!
nimefurahishwa na uamuzi wako wa kumruhusu mumeo kuwa na ''mpango wa kando''.....CHA MSINGI ATUMIE HELA YAKE
 
Nimeelewa asilimia mia moja dada, sasa hiyo ya kuwa Ifii nai deleate kwene kichwa, moyo, nafsi na roho yangu compltly
Ngoja nisubiri akuje mutu wa kuoa dada, sasa sijui nifanye mazoezi ya kukabidhiana na hayo mavituko!!!!
 
Eti nini........mpaka umpate huyo mume?shauri yako...............................
 
nimeelewa asilimia mia moja dada, sasa hiyo ya kuwa ifii nai deleate kwene kichwa, moyo, nafsi na roho yangu compltly
ngoja nisubiri akuje mutu wa kuoa dada, sasa sijui nifanye mazoezi ya kukabidhiana na hayo mavituko!!!!

wengine huanza siku moja baada ya kufunga ndoa
 
ahsante...!
Nimefurahishwa na uamuzi wako wa kumruhusu mumeo kuwa na ''mpango wa kando''.....cha msingi atumie hela yake

chako chetu sote cha kwangu ni changu peke yangu
 
Nimeelewa asilimia mia moja dada, sasa hiyo ya kuwa Ifii nai deleate kwene kichwa, moyo, nafsi na roho yangu compltly
Ngoja nisubiri akuje mutu wa kuoa dada, sasa sijui nifanye mazoezi ya kukabidhiana na hayo mavituko!!!!

usifanye infi mwaya,,,sawa eeeh
 
Nimeelewa asilimia mia moja dada, sasa hiyo ya kuwa Ifii nai deleate kwene kichwa, moyo, nafsi na roho yangu compltly
Ngoja nisubiri akuje mutu wa kuoa dada, sasa sijui nifanye mazoezi ya kukabidhiana na hayo mavituko!!!!

huhitaji mazoezi mdogo wangu, unaweza fanya ya kukabiliana na mume ukakuta umepata mume mtam anaku support 101%...huku kwa mawifi/mama mkwe ndio balaa, utafanya mazoezi yapi uache yapi? we ingia ndani ukiwa na roho nyeupe mengine utayaweka sawa ukiwa ndani...mie kwa kweli mtu akiniambia hawara ana enjoy ckubaliani nae, kwangu mie naona naenjoy sana yeye asaidie tu kwa muda huyo mr arudi kwenye familia yake...(nicwabambe lakini)
 
He he he he hapo inaonekana patachimbika ile mbaya
 
ha ha ha ha!
ahsante kwa kutuongezea mbinu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…