Lady wa busara, hebu tuangalie utaratibu wa ku-test mpango......ikitokea ukawa mpango wa nje isiwe tabu.
Nipo vere vere mpango mzima, vere vere Majiliohalafu unajua kupanga ni kuchagua
kwa kila jambo, kuna majira yake.big wa rita hakuna kitu inauma kama kugundua kuna kampango ka nje,,,kucheza na feelings za mtu mbaya sana,,,never cheat eeh
Chairman nilikuuliza ila ukaingia mitini
Kwanini watu wanaoa na kuolewa?
umeona dada chauro eeh, ndo maana nahisi infii anafaida, unaogesha, unafua, unalisha, akiumwa unauguza,
mambo yakikaa sawa, my infii kuna mech ya assernal na ........ Uko wapi mamaaaaaaa.
Tafadhali jamani..
Vere vere MAGAZIJUTOKUTOKANA NA NENO INFIDELITY KUONEKANA KUKERA MIONGONI WA WANAJAMVI, NAPENDEKEZA KUWA NENO RASMI KUMAANISHA HIVO HUMU JAMVINI LIWE 'MPANGO MZIMA'
Gonga senks kama unaunga mkono hoja
Habari yake Muzuri bana! Asee Usalule kama kawa ni mambo ya "Mpango Mzima"Kijana inakuwaje baaaanaaa! Habari zenyu za usalule baaaanaa!
ukiingia kwenye ndoa ukiwa unaniamini basi tutadumu kazi za nje tutakuwa tunazisikia kwa wengine tu
Vere vere MAGAZIJUTO
kaizer anaambaa ambaa na mpira anampa TEAMO....TEAMO PALE,HATARI PALE KATIKA LANGO LA F(_)B.....TEAMOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOHili swali tumwulize the newest kwenye hii institutiion@TEAMO!:A S crown-1:
MLA HULIWA!We acha tu wao ndo wakula matunda tunayopalilia sie wa kulinda miji na watoto wasiporomoke ili akinywa bia ishuke bila mawaa kazi tunayo
Mpango mzima!:kiss:
counter kiss,,,kauli mbiu, say no to mpango wa nje
mla huliwa!
una maanisha kwa uwazi huu, hauwezi kulinda maslahi ya kidume ili kinywe bia kwa raha?
Muda mwingine mpango wa kando unanufaisha mpango wa ndani hata kama anakuwa hajaridhia. sio wote mipango ya kando wanatakwa na waume za watu bali wanawataka wao na hata wasipogharamikiwa hawalalamiki.WAKUU,
HABARINI ZA MAJILIO?
naomba mawazo yenu katika muendelezo ule ule wa ''kuelezana ukweli unaohuzunisha''.....
ASSUMING KWAMBA SITUATION IMETOKEA HIVYO na baba mwenye nyumba ameamua kuwa na ''mpango wa kando'' kwa sababu zozote zile,mi nataka tupeane mawazo kwamba hivi ni nani anaeinjoi mapenzi zaidi ya mwenzake kati ya:
1)-MAMA MWENYE NYUMBA
-ambaye ndo mke wako wa ndoa
-ambaye ndo yuko responsible bega kwa bega na wewe katika kuikuza familia
-ambaye anavumilia kwa hali yoyote ile muda wowote ule utakao amua kurudi
-ambaye muda wote wa usiku wa giza anakuwa na mawazo kibao kwamba ''mume wangu amepatwa na nini''
-ni mke wako ''enewei'' na she is entitled to whatever is brought for the family
-ambaye utakata roho ukiwa mikononi mwake
2)-MPANGO WA NJE.
-she is entitled to kampani,route na vikao vyote vya pombe/movie etc
-anapewa nafasi ya kuagiza chochote anachotaka mkiwa baa
-anapewa nafasi ya kupelekwa shoping na kujiagizia chochote
-anakuwa na uhakika wa credits,means za tranzport (hata kumrash home kila siku sio ishu)
-anapewa nafasi adimu ya kuchat na wewe 24/7
-anapewa nafasi ya kudeka anavyotaka
-anapewa nafasi ya kunisindikiza arusha kuungana na pakajimi na kampani kubwa ya jf ya ARACHUGA
TUSAIDIANE HAPO MAWAZO,who is enjoying?
....and why?
The Pope, huko koooote umechangia umefika hapa hujui "mpango wa nje"? I smell something..lol!!mpango wa nje ni nini hasa?