''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

@hapo anayefaidi ni wewe unatunza zote mbili... moja ya home affair, na hiyo nyingine ya sports and entertainment

Kwenye home affair huwezi kuunda kitengo cha sports and entertainment?
 

So bora kuwa Infii au????

Manake Relaxation is there kadiri ya uwezo utakaokuepo, having fun.........
 
HAYA BWANA!
kwa hiyo unamaanisha kuinjoi ni FUNCTION of TIME(in seconds)
 
(Safi kabisa...inaonekana krismas itakuwa tamu sana aisee hakikisha unarudi kabla mambo hayajaharibikia....)
(Patakuwa hapatoshi, katibu naye amethibitisha uwepo, na the King lazima tumpeleke akamnyweshe binti mbege):teeth::teeth::teeth:
 
So bora kuwa Infii au????

Manake Relaxation is there kadiri ya uwezo utakaokuepo, having fun.........
neno hilo mama mkubwa....!
 
Niko hapa hommie. Ulikuwa unasema...?....Hakikisha hapa, ili ujue nimekutukuza kwa kujali maslahi yangu.


The Following 3 Users Say Thank You to Kaizer For This Useful Post:
Asprin(Today), GY (Today), Teamo (Today)

Baba hachaguliwi...........:lol::lol:
Mama hapigiwi kura......watoto siri ya mama.
.:israel::israel::israel:

Babu huu nao ni mpango mzima au mpango wa nje?
 
hapo juu kaizer na asprin MNAICHAKACHUA THREAD
 

Lakini kila chenye faida kina hasara pia!!! But kama faida ni kubwa kuliko hasara, tunachagua.
So kama infii anapata furaha, amani, upendo nakadhalika zote kuliko mama mwenye nyumba,
Tunaweza kusema bora kuchagua Hiyo (MY INFII)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…