Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Hayo maisha unayoyatafuta Dar uliyapotezea wapi...Waungwana na wenye busara naomba mnishauri maana sasa hii imenizidi. Iko hivi π
Nimehamia kwenye hii nyumba mwezi wa 7 nikitokea mkoani huko nimekuja Dar kutafuta maisha. Sasa siku za awali kila kitu kilikuwa poa ila nilipolipa tu kodi mama mwenye nyumba akaenda kununua sabufa mpya Kariakoo.
Sasa toka amenunua amekuwa akipiga singeli au bongo flava kwa sauti kubwa toka asubuhi hadi labda saa 7 au 8 usiku.
Nimemchoka nataka ahame nyumba aniache na amani niliyokuwa nayo.
Nifanyeje ili ahame?
Ukisikia kelele za muziki usiku Tena si za kawaida basi jua Kuna mtu ana zagamuliwa uko sasa kijana kaa kwa kutulia uusome mchezo kama vipi paki kucha mtongoze na ww uwe una jipakulia minyama asbh.Waungwana na wenye busara naomba mnishauri maana sasa hii imenizidi. Iko hivi π
Nimehamia kwenye hii nyumba mwezi wa 7 nikitokea mkoani huko nimekuja Dar kutafuta maisha. Sasa siku za awali kila kitu kilikuwa poa ila nilipolipa tu kodi mama mwenye nyumba akaenda kununua sabufa mpya Kariakoo.
Sasa toka amenunua amekuwa akipiga singeli au bongo flava kwa sauti kubwa toka asubuhi hadi labda saa 7 au 8 usiku.
Nimemchoka nataka ahame nyumba aniache na amani niliyokuwa nayo.
Nifanyeje ili ahame?
Na mimi nitawashauri watu wenye ID kama yako za kutisha mutolewe humu munakuwa munatutisha sana wengine tunaingia humu jf usiku.....Tunapoelekea tutashauri Uongozi wa JF, uanze kutoza Ada kabla mtu hajaanzisha Uzi
Najua wanatumia gharama kubwa kutunza server zao
Nunua Subwofer yenye sauti kubwa kama hiyo, halafu akifungulia ya kwake wewe fungulia kwaya kwa sauti ya juu, na muda ukiona ndio anaacha na wewe unaacha.Waungwana na wenye busara naomba mnishauri maana sasa hii imenizidi. Iko hivi π
Nimehamia kwenye hii nyumba mwezi wa 7 nikitokea mkoani huko nimekuja Dar kutafuta maisha. Sasa siku za awali kila kitu kilikuwa poa ila nilipolipa tu kodi mama mwenye nyumba akaenda kununua sabufa mpya Kariakoo.
Sasa toka amenunua amekuwa akipiga singeli au bongo flava kwa sauti kubwa toka asubuhi hadi labda saa 7 au 8 usiku.
Nimemchoka nataka ahame nyumba aniache na amani niliyokuwa nayo.
Nifanyeje ili ahame?
Kweli Vijana hamna huruma na Wazee πNa mimi nitawashauri watu wenye ID kama yako za kutisha mutolewe humu munakuwa munatutisha sana wengine tunaingia humu jf usiku.....