Mama Mwenye nyumba wangu anafungulia redio mpaka mwisho NIFANYEJE ahame?

Waungwana na wenye busara naomba mnishauri maana sasa hii imenizidi. Iko hivi 👇

Nimehamia kwenye hii nyumba mwezi wa 7 nikitokea mkoani huko nimekuja Dar kutafuta maisha. Sasa siku za awali kila kitu kilikuwa poa ila nilipolipa tu kodi mama mwenye nyumba akaenda kununua sabufa mpya Kariakoo.

Sasa toka amenunua amekuwa akipiga singeli au bongo flava kwa sauti kubwa toka asubuhi hadi labda saa 7 au 8 usiku.

Nimemchoka nataka ahame nyumba aniache na amani niliyokuwa nayo.
Nifanyeje ili ahame?
ila jamani wagonjwa wa akili wako wengi. sasa aondoke kwenye nyumba yake au wewe ndo uondoke
 
Waungwana na wenye busara naomba mnishauri maana sasa hii imenizidi. Iko hivi 👇

Nimehamia kwenye hii nyumba mwezi wa 7 nikitokea mkoani huko nimekuja Dar kutafuta maisha. Sasa siku za awali kila kitu kilikuwa poa ila nilipolipa tu kodi mama mwenye nyumba akaenda kununua sabufa mpya Kariakoo.

Sasa toka amenunua amekuwa akipiga singeli au bongo flava kwa sauti kubwa toka asubuhi hadi labda saa 7 au 8 usiku.

Nimemchoka nataka ahame nyumba aniache na amani niliyokuwa nayo.
Nifanyeje ili ahame?
Mbandue
 
Back
Top Bottom