magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Na wewe umejifunza nini kuhusu ukuu wa Mungu?Ina maana kina zitto na kina maria sarungi wamemtekeleza huyu mama pamoja na kumtumia kote kule kabendera wakishirikiana na mabeberu? Ama kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.
Nae ajifunze akitoka, alipokuwa anatumika hakujua kuna mama na ndugu zake wanamtegemea.?Wacha ale jeuri yake.
Sent using Jamii Forums mobile app