Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemuonea huruma sana huyu bibi na sisi watoto tujifunze tunapokuwa sehemu tujifunze tutii mamlaka tunawapa tabu sana wazazi wetu
Umri wake siyo kinga kwa mwanae ..Kama hafiki vigezo vya kusamehewa
Ina maana kina zitto na kina maria sarungi wamemtekeleza huyu mama pamoja na kumtumia kote kule kabendera wakishirikiana na mabeberu? Ama kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.
Nae ajifunze akitoka, alipokuwa anatumika hakujua kuna mama na ndugu zake wanamtegemea.?Wacha ale jeuri yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Changanya dua za wafungwa elfu tano na ushee +ndugu na jamaa za wafungwa,ukipata jumla yake,kaanayo
Kisha laana huyo bibi na kijana wake msaliti wa taifa upime mzani .
Kosa alilofanya huyu dogo kwa taifa hili alistahili kunyongwa,sema Magufuli anahuruma sana
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeePana mama mjane alilia kwa uchungu Sana akiwa na mtoto mchanga pindi tu greda lilipotua kwenye nyumba yake kimara kubomolewa kisha tu walihisiwa walipigia kura chadema.Alilia kwa uchungu akisema Mungu atalipa.Jiwe alikaza shingo na kuziba masikio kwa kiburi na hata asiwasikilize masikini hawa waliolia kwa machozi ya uchungu akiamini ataishi milele,machozi ya watu hayaendi bure.
Usimwage damu za watu usimwage machozi ya watu.
Damu na machozi ya watu wasio na hatia vikiungana ukatizi havizuiliki kwa ndumba wala nn.
Level ya mganga ni ndogo Sana kumudu kuzuia laana ya machozi na damu za watu hata awe gwiji vipi.
Laana ya huyu mama iendelee kuwatafuna wote waliohusika na kesi ya kabenderaVerdiana Mjwahuzi (81) ambaye ni mama wa mwandishi wa habari, Erick Kabendera amemuomba Rais wa Tanzania, John Magufuli kumsamehe mwanaye.
Akizungumza kwa huzuni leo Ijumaa Desemba 13, 2019 katika mkutano na waandishi wa habari, Verdiana amesema Kabendera ni mwanaye pekee anayemsaidia katika matibabu.
Kabendera anakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la utakatishaji za zaidi ya Sh173 milioni na tayari amemuandikia barua mkurugenzi wa mashtaka (DPP) kukiri makosa na kuomba msamaha. Oktoba Mosi , 2019 kupitia wakili wake Jebra Kambole, alimuomba msamaha Rais Magufuli kama kuna makosa ameyafanya.
Verdiana amesema kati ya watoto wake wanane, Kabendera ni wa saba kuzaliwa na ndio alikuwa na uwezo wa kumtunza na kumuuguza.
Mheshimiwa Rais na yeye ni mtoto kama walivyo watoto wengine hata kama ni mkubwa. Ni mzazi na analea watoto. Namwomba anionee huruma.”
"Angalia maisha yalivyo magumu, dawa sipati. Naomba Rais anisaidie kama anavyosaidia wazazi wake,” amesema.
Amesema mwanaye alijitahidi kuitunza familia yake, yeye na ndugu zake wengine na kusisitiza kuwa ndio mhimili wa familia.
"Siwezi kumsifia mwanangu, wanaume wengi wakitoka kazini wanakwenda kulewa lakini Eric anafanya kazi zake hapa nyumbani hadi saa saba usiku na wakati mwingine hadi saa nane . Mambo yote aliyopata ni kwa sababu ya kufanya kazi," amesema mama huyo huku akibubujikwa machozi.
Ameongeza, “kule Segerea (gerezani) siwezi kwenda kwa sababu kuna msongamano wa watu, mahakamani kuna ngazi. Lakini mara ya mwisho nilijitahidi nikaenda nilipomuona mwanangu sikulia, nilijikaza lakini chozi moja lilinitoka. Sikujua kama ni yeye, amekonda na ana nywele nyingi kama mwehu. Ni mweusi lakini amezidi kuwa mweusi.
"Huyu mtoto ni Mungu amenizawadia, ni tunu kwangu. Akisikia mama anaumwa anakimbia haraka. Sasa hizo dawa sizipati tena, macho yalikuwa yanauma na moja halioni tena na hili linaloona naona vitu vyeusi."
View attachment 1291137
Mmoja yumo humu JFLaana ya huyu mama iendelee kuwatafuna wote waliohusika na kesi ya kabendera
Yule yuleMmoja yumo humu JF
KabisaMalipo ni hapa hapa Duniani.
Mungu ametufundisha Utii lakini hakuwahi kusema tumtii shetaniNimemuonea huruma sana huyu bibi na sisi watoto tujifunze tunapokuwa sehemu tujifunze tutii mamlaka tunawapa tabu sana wazazi wetu
Shetani ni mama yako anatakiwa akachomwe moto na majivu yake yakamwagwe kwenye kina kirefu cha bahari.Magufuli alikua shetani alitakiwa afufuliwe akatupwe baharini shetani mkubwa yule
Kwendraaa basi ukazikwe nae maana sahizi lishajiozea huko chato lile limzoga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shetani ni mama yako anatakiwa akachomwe moto na majivu yake yakamwagwe kwenye kina kirefu cha bahari.
Nitapigwa ban juu yakoShetani ni mama yako anatakiwa akachomwe moto na majivu yake yakamwagwe kwenye kina kirefu cha bahari.
Kabla hujafa hujaumbika , hivi kama kweli Kabendera ni mtakatisha pesa huyu mama angelia namna hii ? endeleeni na ukatiri wenu lakini mtakuja kulipa tu
Utakoma hadi roho itakutoka, kalime upate chakula maana bwanako ndo hivyo tena hatawali tena au bado unaamini ataogezewa muda🤣🤣🤣🤣Shetani ni mama yako anatakiwa akachomwe moto na majivu yake yakamwagwe kwenye kina kirefu cha bahari.
Kwani mama yako siyo mzoga kweli?Kwendraaa basi ukazikwe nae maana sahizi lishajiozea huko chato lile limzoga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mama yako je?? yeye siyo jambazi la ngono kwa kukuzaa wewe ibilisi mkubwa!!?Magu lilikuwa jambazi kuanzia kupatikana kwake mpaka hulka na tabia yake.