Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Hakika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika
Maisha kuna leo na kesho , viongozi pia wajitahidi kutenda haki .Nimemuonea huruma sana huyu bibi na sisi watoto tujifunze tunapokuwa sehemu tujifunze tutii mamlaka tunawapa tabu sana wazazi wetu
KabisaMalipo ni hapa hapa Duniani.
Kwa hiyo unataka kusema Kabendera alipata malipo yake hapa hapa duniani kwa kuisaliti nchi yake? Lakini si ameshatubu na sasa hivi anaendelea vizuri haisaliti Tanzania tena vile vyombo vyake vya habari alivyokuwa anavipelekea taarifa uchwara sasa haviripoti tena udaku au?Malipo ni hapa hapa Duniani.
Hujaelewa nini hapo?Kwa hiyo unataka kusema Kabendera alipata malipo yake hapa hapa duniani kwa kuisaliti nchi yake? Lakini si ameshatubu na sasa hivi anaendelea vizuri haisaliti Tanzania tena vile vyombo vyake vya habari alivyokuwa anavipelekea taarifa uchwara sasa haviripoti tena udaku au?
Vipi alikutwa na hatia au kufungwa?hivi kila mwenye kisa aombewe na mama yake asamehewe kutakuwa na sheria kweli. hebu acheni uzwazwa. mnajifanya mna huruma kumbe ujinga,tu
minne again!Mitano tena
Yako Wapii!!!?Uko sahihi Yohana mbatizaji alikatwa kichwa aliposhindana na Herode.Mtu akishindana na mamlaka awe tayari kichwa chake kuwekwa kwenye gogo la mchinja kichwa na asipige yowe kikiwekwa kichwa chake kwenye gogo la chinja chinja
kwa hiyo kila aliepo mahabusu aruhudiwe? akazike mama. kama ameonewa kuhusu kikamatwa kwake lizungumzwe hilo ila sio issue ya kuombewa na mama atoke
Ishatafuna mmojaUpande wa Sheria ni msumeno ukiwa applied... Serikali haikuwa na kosa vile imagine kila Mzazi wa mtuhumiwa aende kuomba kama hvo..
Mbaya ni kumzuia Kabendera kwenda kuzika mwili wa mama yake mzazi... Hii laana kuna watu itawatafuna... Ni swala la muda tu
Na ya Kabendera yako wapi?Yako Wapii!!!?
Na aliyesababisha haya Ni Magufuli naye kafa Kama Bibi juyu alivyokufa .Kabendera afurahi au ahuzunike?Umri wake siyo kinga kwa mwanae ..Kama hafiki vigezo vya kusamehewa
Ahuzunike tuNa aliyesababisha haya Ni Magufuli naye kafa Kama Bibi juyu alivyokufa .Kabendera afurahi au ahuzunike?