Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae

Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae

Malipo ni hapa hapa Duniani.
Kwa hiyo unataka kusema Kabendera alipata malipo yake hapa hapa duniani kwa kuisaliti nchi yake? Lakini si ameshatubu na sasa hivi anaendelea vizuri haisaliti Tanzania tena vile vyombo vyake vya habari alivyokuwa anavipelekea taarifa uchwara sasa haviripoti tena udaku au?
 
Hujaelewa nini hapo?
 
Upande wa Sheria ni msumeno ukiwa applied... Serikali haikuwa na kosa vile imagine kila Mzazi wa mtuhumiwa aende kuomba kama hvo..

Mbaya ni kumzuia Kabendera kwenda kuzika mwili wa mama yake mzazi... Hii laana kuna watu itawatafuna... Ni swala la muda tu
 
hivi kila mwenye kisa aombewe na mama yake asamehewe kutakuwa na sheria kweli. hebu acheni uzwazwa. mnajifanya mna huruma kumbe ujinga,tu
 
Mbona kama ile 'laana' imeshakula kichwa kimojawapo, au nasema uwongo ndugu zangu?
 
Uko sahihi Yohana mbatizaji alikatwa kichwa aliposhindana na Herode.Mtu akishindana na mamlaka awe tayari kichwa chake kuwekwa kwenye gogo la mchinja kichwa na asipige yowe kikiwekwa kichwa chake kwenye gogo la chinja chinja
Yako Wapii!!!?
 
Upande wa Sheria ni msumeno ukiwa applied... Serikali haikuwa na kosa vile imagine kila Mzazi wa mtuhumiwa aende kuomba kama hvo..

Mbaya ni kumzuia Kabendera kwenda kuzika mwili wa mama yake mzazi... Hii laana kuna watu itawatafuna... Ni swala la muda tu
Ishatafuna mmoja
 
Pana mama mjane alilia kwa uchungu Sana akiwa na mtoto mchanga pindi tu greda lilipotua kwenye nyumba yake kimara kubomolewa kisha tu walihisiwa walipigia kura chadema.Alilia kwa uchungu akisema Mungu atalipa.Jiwe alikaza shingo na kuziba masikio kwa kiburi na hata asiwasikilize masikini hawa waliolia kwa machozi ya uchungu akiamini ataishi milele,machozi ya watu hayaendi bure.
Usimwage damu za watu usimwage machozi ya watu.
Damu na machozi ya watu wasio na hatia vikiungana ukatizi havizuiliki kwa ndumba wala nn.
Level ya mganga ni ndogo Sana kumudu kuzuia laana ya machozi na damu za watu hata awe gwiji vipi.
 
Back
Top Bottom