Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae

Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae

P

Too little too late.
tusubiri "KARMA"
 
Uko sahihi Yohana mbatizaji alikatwa kichwa aliposhindana na Herode.Mtu akishindana na mamlaka awe tayari kichwa chake kuwekwa kwenye gogo la mchinja kichwa na asipige yowe kikiwekwa kichwa chake kwenye gogo la chinja chinja
Acha uongo kichwa cha yohana kilikatwa baada ya mtoto wa mke wa herode kukiomba kwani alitumwa na mama yake
 
Nimemuonea huruma sana huyu bibi na sisi watoto tujifunze tunapokuwa sehemu tujifunze tutii mamlaka tunawapa tabu sana wazazi wetu
Kwani kosa la Kabendera ni nini? Si raia, kaandika habari za uongo, mhujumu au mtakatishaji pesa?
 
Nilimsikia huyu mama Erick Kabendera akimueleza mtangazaji wa BBC katika mahojiano yaliyorushwa mubashara na BBC Dira ya Dunia mwaka jana.

RIP mama Erick!
 
Nilidhani nyie CCM kwasasa viroho kwatu baada ya mama yake erick kufariki. Wachawi wakubwa ninyi.
 
Nilimsikia huyu mama Erick Kabendera akimueleza mtangazaji wa BBC katika mahojiano yaliyorushwa mubashara na BBC Dira ya Dunia mwaka jana.

RIP mama Erick!
Mwenyezi Mungu aipokee Roho ya Mama Erick katika raha yake ya milele. Awasamehe wote waliochangia either direct or indirect kwenye kifo chake.
 
Back
Top Bottom