Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae

Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae

Kuna vitu tupunguze chuki na wivu wa kijinga kwa Mh Rais mapungufu yapo tna mengi kwenye utawala wake ila chuki za kina Zitto kwa sababu mifereji yao imezibwa uwezi kumtukana Rais wa nchi tna kwa kutumia vyombo vya njee ya nchi kutumika na wachache yote ya yote natumia fursa hii kumuombea msamaha kabendera amekoma Mama yetu anapata shida kumkosa Mtt watt wake wanakosa Ada sababu ya kumkosa Baba yao...
Kuna siku baada ya kutoka kwenye madaraka mkuu wenu yatamkuta mambo na kila mtu hata aliyekuwa mpambe wake wa karibu atamkimbia na atachekwa na kila mtu hadi waliojifanya washkaji wake.
Time will tell.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo rais ndiye kamshikilia Kabendera? Hata siamini. Najuta kuwa Tanzania ya watumwa.

Magufuli ameleta utumwa kwa wananchi.
 
Changanya dua za wafungwa elfu tano na ushee +ndugu na jamaa za wafungwa,ukipata jumla yake,kaanayo

Kisha laana huyo bibi na kijana wake msaliti wa taifa upime mzani .
Kosa alilofanya huyu dogo kwa taifa hili alistahili kunyongwa,sema Magufuli anahuruma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukumbushe.. Alifanya nini!??
 
Mama mzazi wa mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019. Mtu wa karibu na familia amethibitisha

View attachment 1308015
Shocked!.
Kama ni kweli Eric Kabendera anashikiliwa kwa sababu ya kalamu yake hivyo hayo mengine yote ni kisingizio tuu, na yeye ndiye alikuwa tegemeo la mama yake na mama yake amefariki baada ya kukosa huduma na usongo wa mawazo wa kukamatwa kwa mwanaye, then karma ya kifo cha huyu mama itakuwa ni kubwa na haina mfano!.
Karma is real na haina mswalie Mtume.
Pole sana Eric Kabendera
Mungu akufariji na Mungu akupiganie.
P
 
Kabla hujafa hujaumbika , hivi kama kweli Kabendera ni mtakatisha pesa huyu mama angelia namna hii ? endeleeni na ukatiri wenu lakini mtakuja kulipa tu
MAMA YAKE NDIYO KESHA FARIKI JAMANI
 
PUMZIKA MAHALI PEMA PEPONI MAMA.

Hakika Mwenyezimungu ni mjuzi wa yote, machozi aliyo lia MAMA kabendera kwa mwanaye kukamatwa mpaka kupelekea yeye kukosa matibabu yake ya msingi na hadi kumkuta.
MAUTIPp
Kila aliye husika na udhalimu huu, haki itatendeka mbele ya Mwenyezimungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shocked!.
Kama ni kweli Eric Kabendera anashikiliwa kwa sababu ya kalamu yake hivyo hayo mengine yote ni kisingizio tuu, na yeye ndiye alikuwa tegemeo la mama yake na mama yake amefariki baada ya kukosa huduma na usongo wa mawazo wa kukamatwa kwa mwanaye, then karma ya kifo cha huyu mama itakuwa ni kubwa na haina mfano!.
Karma is real na haina mswalie Mtume.
Pole sana Eric Kabendera
Mungu akufariji na Mungu akupiganie.
P
Huu ndiyo utawala wa wanyonge
 
Alikamatwa tukaambiwa makosa ya mitandao mara uraia mwisho utakatishaji fedha, huyu mama na mama yake Sugu watakuwa wameacha laana kubwa sana kwenye Taifa letu, na ukiona mtu anajifanya mcha MUNGU kutwa anaonekana kwenye nyumba za ibada, kutaja jina la MUNGU kila saa mchunguze sana anayo yafanya gizani itakuwa ni maovu zaidi ya shetani alivyo.
 
Back
Top Bottom