Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae

Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae

Kabendera ni mhalifu aliyekuwa anatumia kalamu yake Kabendera alitakiwa ajue kuwa kuna wategemezi wake kabla ya kuanza kupambana na dola
 
aliyoyafanya mtoto wake unayajua au unaona tu kaonewa
Wewe ni mpumbaf kabisa, aliyoyafanya yepi zaidi ya yaliyowekwa mahakamani? Nyie ndio wajinga muwezao kuwasababishia watu ban hapa JF.
Unambambika MTU kesi kwa makosa makubwa kwa hisia za kosa lingine? Huo kama sio unyama ni nini? Haya sasa mama yake kafa furahini maana yeye hata kumzika hawezi na huko aliko pengine anashindana na nafsi maana naye ana uchungu wa kufa kabisa.
Lazima karma itamlipia tuu, wewe kaa na ujinga wako wakufurahia machungu ya wengine maana uko peke yako hakuna liwezalo kukupa uchungu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikamatwa tukaambiwa makosa ya mitandao mara uraia mwisho utakatishaji fedha, huyu mama na mama yake Sugu watakuwa wameacha laana kubwa sana kwenye Taifa letu, na ukiona mtu anajifanya mcha MUNGU kutwa anaonekana kwenye nyumba za ibada, kutaja jina la MUNGU kila saa mchunguze sana anayo yafanya gizani itakuwa ni maovu zaidi ya shetani alivyo.
P
 
Wewe ni mpumbaf kabisa, aliyoyafanya yepi zaidi ya yaliyowekwa mahakamani? Nyie ndio wajinga muwezao kuwasababishia watu ban hapa JF.
Unambambika MTU kesi kwa makosa makubwa kwa hisia za kosa lingine? Huo kama sio unyama ni nini? Haya sasa mama yake kafa furahini maana yeye hata kumzika hawezi na huko aliko pengine anashindana na nafsi maana naye ana uchungu wa kufa kabisa.
Lazima karma itamlipia tuu, wewe kaa na ujinga wako wakufurahia machungu ya wengine maana uko peke yako hakuna liwezalo kukupa uchungu!

Sent using Jamii Forums mobile app
unalalamika kama shoga anapigiliwa ukuni? yaani wewe unatoa hukumu kuwa hana kosa kabambikiwa wewe ni mganga wa kienyeji umepiga ramli? acha ungese wewe
 
Msamahaa ni kwa mwenyekujua maana ya sala ya Baba yetu uliyembinguni.....kama huwezi wasamehee wengine wewe ni nani usamehewe makosa yako?
 
Changanya dua za wafungwa elfu tano na ushee +ndugu na jamaa za wafungwa,ukipata jumla yake,kaanayo

Kisha laana huyo bibi na kijana wake msaliti wa taifa upime mzani .
Kosa alilofanya huyu dogo kwa taifa hili alistahili kunyongwa,sema Magufuli anahuruma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Alifanya kosa gani?
 
Msamahaa ni kwa mwenyekujua maana ya sala ya Baba yetu uliyembinguni.....kama huwezi wasamehee wengine wewe ni nani usamehewe makosa yako?
 
P
Naona unajaribu kujiepusha na karma,umechelewa sana!Roho ya huyo mama iko juu yako na watesi wa mwanaye,mnafiki mkubwa!
 
*Ayubu 8:20 " Tazama, Mungu hatamtupa mtu mkamilifu, wala hatawathibitisha watendao uovu (JPM na genge lake, wengine wamo humu Jf). "

*Isaiah 57:2 " Those who live good lives find peace and rest in death. "

Pumzika kwa amani mama Eric, nuru yake BWANA ikuangazie. Amin.
 
Back
Top Bottom