Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Kabendera ni mhalifu aliyekuwa anatumia kalamu yake Kabendera alitakiwa ajue kuwa kuna wategemezi wake kabla ya kuanza kupambana na dola
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mpumbaf kabisa, aliyoyafanya yepi zaidi ya yaliyowekwa mahakamani? Nyie ndio wajinga muwezao kuwasababishia watu ban hapa JF.aliyoyafanya mtoto wake unayajua au unaona tu kaonewa
Waliomkamata hawajathibitisha hayo.Kabendera ni mhalifu aliyekuwa anatumia kalamu yake Kabendera alitakiwa ajue kuwa kuna wategemezi wake kabla ya kuanza kupambana na dola
Mbona mahakamani mnasema utakatishaji? Hayo unayosema hayana sheria yake? Mpumbf sana wewe! Kwa hiyo dola ni dhaifu kiasi unaikosea hili inakusingizia lile?Kabendera ni mhalifu aliyekuwa anatumia kalamu yake Kabendera alitakiwa ajue kuwa kuna wategemezi wake kabla ya kuanza kupambana na dola
Alikuwa na kosa la kutumia kalamu yake vibaya au utakatishaji pesa?Kabendera ni mhalifu aliyekuwa anatumia kalamu yake Kabendera alitakiwa ajue kuwa kuna wategemezi wake kabla ya kuanza kupambana na dola
Alikamatwa tukaambiwa makosa ya mitandao mara uraia mwisho utakatishaji fedha, huyu mama na mama yake Sugu watakuwa wameacha laana kubwa sana kwenye Taifa letu, na ukiona mtu anajifanya mcha MUNGU kutwa anaonekana kwenye nyumba za ibada, kutaja jina la MUNGU kila saa mchunguze sana anayo yafanya gizani itakuwa ni maovu zaidi ya shetani alivyo.
unalalamika kama shoga anapigiliwa ukuni? yaani wewe unatoa hukumu kuwa hana kosa kabambikiwa wewe ni mganga wa kienyeji umepiga ramli? acha ungese weweWewe ni mpumbaf kabisa, aliyoyafanya yepi zaidi ya yaliyowekwa mahakamani? Nyie ndio wajinga muwezao kuwasababishia watu ban hapa JF.
Unambambika MTU kesi kwa makosa makubwa kwa hisia za kosa lingine? Huo kama sio unyama ni nini? Haya sasa mama yake kafa furahini maana yeye hata kumzika hawezi na huko aliko pengine anashindana na nafsi maana naye ana uchungu wa kufa kabisa.
Lazima karma itamlipia tuu, wewe kaa na ujinga wako wakufurahia machungu ya wengine maana uko peke yako hakuna liwezalo kukupa uchungu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu malipo ni hapa hapa duniani mama hakuomba matatizo hata wewe yatakupata tu hujafa hujaumbikaUmri wake siyo kinga kwa mwanae ..Kama hafiki vigezo vya kusamehewa
Pumbav,kukosoa sera za kiuchumi za awamu ya 5 ndio uhalifuNaked foolsKabendera ni mhalifu aliyekuwa anatumia kalamu yake Kabendera alitakiwa ajue kuwa kuna wategemezi wake kabla ya kuanza kupambana na dola
Alifanya kosa gani?Changanya dua za wafungwa elfu tano na ushee +ndugu na jamaa za wafungwa,ukipata jumla yake,kaanayo
Kisha laana huyo bibi na kijana wake msaliti wa taifa upime mzani .
Kosa alilofanya huyu dogo kwa taifa hili alistahili kunyongwa,sema Magufuli anahuruma sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unajaribu kujiepusha na karma,umechelewa sana!Roho ya huyo mama iko juu yako na watesi wa mwanaye,mnafiki mkubwa!PPersonal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake
Wanabodi Tangu kukamatwa kwa Mwandishi wa habari za kiuchunguzi Eric Kabendera, na kukamatwa kule kukahushishwa na makala zake, na kwa vile ni mimi niliyekuwa natafsiri makala za majarida ya nje na kuzileta humu jf, hivyo nikatuhumiwa kuwa ni makala za jf ndio zimemchongea Eric Kabendera...www.jamiiforums.com
kabisa
Dranvunculus loaloa marasquishPumbav,kukosoa sera za kiuchumi za awamu ya 5 ndio uhalifuNaked fools
Mama yako mzazi!Dranvunculus loaloa marasquish
Mbona kama analazimisha msamaha kwa rais