Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae

Kwani wewe ni mahakama?
na vipi ikitokea kabendera akashinda kesi yake.
Utakuja kusema nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazazi tuache kudekeza watoto tuwafunze kuishi na wakubwa zao vizuri Wawe ndugu,watu wazima wa mitaani,ofisini, serikalini nk

Kabendera Ni zao la ujinga wa wazazi wake akiwemo mama yake hasa hakumfunza jinsi ya kuishi na watu waliomzidi kiumri na kimadaraka

Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu.Mama kabendera lawama zote na ziwe juu yako kwa kutomfunza vizuri mwanao Hadi kusababisha dunia ishike nafasi ya kumfunza kwa ujinga wako na kutomfunza mwanao vizuri Kama mzazi uliyemzaa.Unajua kuzaa tu kulea hujui mwanamke wewe mama kabendera.Looo!!

Kuzaa hata ngedere na mbwa anazaa kazi Ni kwenye malezi ndio tofauti iliyopo Kati ya hao wanyama na binadamu

Mama kabendera hukutimiza wajibu wako Kama mama ulizaa tu uiawaachia watoto dunia ndio iwafunze
 
Aise
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumtukana Rais nje ya mipaka ya nchi ni kulitukana Taifa, kuungana na wahujumu wa rasilimali zetu (ACACIA) na kudidimiza juhudi za mkuu wa nchi wa kuzipigania ni swala lisovumilika, alivuka mipaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa, nina chalii wawili wadogo hapa nikiwatizama tu akili inanitulia maana najua watapata tabu sana na hakuna wa kuwasaidia.
Kama kweli Kabendera aliyafanya hayo makosa nahakika hakufikiria juu ya walioko nyuma yake, narudia kusema kama kweli aliyafanya hayo makosa, nisije kunukuliwa hapa!
kwelii mkuu ...... mm binafsi nikiangalia chain iliyoko nyuma yangu huwa naishia kuwa mpole tuu forthe sake of watu walioko nyuma yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndo tumekuwa tukisema. kwamba kila taaluma inajaribu kutetea wenzao. Waandishi habari wanakuza matatizo ya mwenzao kwa kutangaza haya yote, Wanasheria nao walikuza sana ya mwenzao Lissu. Ifike wakati tuelewe kwamba walio magerezani na walionyongwa pia wana wazazi, wana watoto, wana kila mtegemezi.

Ni muhimu kugundua nafasi yako ktk jamii na familia na kuachana na sifa za kijinga. Mama huyu bahati nzuri kazeeka na akili timamu. badara ya kujaribu kumuhusia rais kama alivyofanya ansatahili amwambie mwanae asilewe sifa.
 
Kwahiyo wote wanaofanya mambo kinyume hawakulelewa vizuri? Sidhani kama kuna mzazi anamlea mwanae ili aje kupata matatizo mbeleni
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupa like Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubinadamu kazi, hatufanani

Sent using Jamii Forums mobile app
True wapo watu machozi,maumivu,uchungu,vilio vya wengine kwao ni burudani.Furaha yao ni kuona wengine wakiteseka.Tumeona watu badala ya kutoa msaada wao wanapiga picha,mtu yeyeto aliyepatikana toka nguvu za giza au baada ya mzazi kwenda kwa mganga hawezikuwa na utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…