Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae

Nimemuonea huruma sana huyu bibi na sisi watoto tujifunze tunapokuwa sehemu tujifunze tutii mamlaka tunawapa tabu sana wazazi wetu

Uko sahihi...ukifanya jambo ni vema uifirikirie kwanza familia yako, kwani hao ndio huummia kuliko wewe uliyefanya kosa...
 
Kwani zito anaenda kumuona kabendera bado au amepumzika, namshauli zito aanze kumsaidia huyo mama kabla kabendera hajatoka gerezani maana ndo walikuwa washauri wake, pamoja na washabiki waliokuwa wanamwambia eti ni jembe akomae, sasa wamemsahau. Familia yake ndo inateseka. Washabikichangenipesa mumsaidie huyo mama, ni ushauli tu.
 
Kwani zito anaenda kumuona kabendera bado au amepumzika, namshauli zito aanze kumsaidia huyo mama kabla kabendera hajatoka gerezani maana ndo walikuwa washauri wake, pamoja na washabiki waliokuwa wanamwambia eti ni jembe akomae, sasa wamemsahau. Familia yake ndo inateseka. Washabiki changeni pesa mumsaidie huyo mama, ni ushauli tu.
 
Inasikitisha. Kuna mtu kanitumia hiyo video whatsapp na sikutaka kuifungua nikaamua kuidelete, ingenitoa machozi.
Mkuu wewe Ni mwanaume au Ni mwanamke?
Na Kama utakuwa phillipo mwanaume Inasikitisha Sana kwa ujumbe ulioandika. Ama kweli kila kukicha idadi ya wanaume inaendelea kupungua kwa kasi Sana mtaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hili la kabendera nikiliona nacheka tu maana wiki moja baada ya kukamatwa kwak, huku kwenye mitandao ya kijamii kulichafuka na hash tag ya FREE KABENDERA.
na kuna watu ndio wakaifanya kabisaa kuwa ajenda yao, lakini wiki mbili mbele akajikuta anabaki pekee yake, tena nakumbuka siku anaenda kusikiliza kesi yake kwa mara ya kwanza aliingia mahakamani katuna na tabasaamu kwa mbaaali huku pembeni kakaa na zito, ila alivyoanza kugundua kabaki pekee yake hata na rangi ya ngozi ake ikaanza kubadilika.
Hapa kuna funzo kubwa sana kwa kwetu sisi.
 

Asamehewe tu, aliingizwa mkenge na kina...Wao wako huru mtaani, ni kama hawa wa sasa wanaojiita eti wanaharakati?!
Wanaharakati my ass, hawajielewi kabisa...siku ya siku wale wanaowapeleka front utaona wanapeta mtaani na wale wakisota mahakamani na segerea...
 
December13, 2019

Mama Mzazi wa Erick Kabendera amemuomba Rais Magufuli amsaidie na pia amsamehe mwanae.


Source: TopTen TV
 
Mkuu wewe Ni mwanaume au Ni mwanamke?
Na Kama utakuwa phillipo mwanaume Inasikitisha Sana kwa ujumbe ulioandika. Ama kweli kila kukicha idadi ya wanaume inaendelea kupungua kwa kasi Sana mtaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haijalishi jinsia mkuu. Rudi kwenye mada punguza dharau za kipumbavu. Viongozi wako wakubwa kabisa wanatoa machozi hadharani umeshawahi kuwauliza jinsia zao?.
 
Daima tukumbuke haya tunayo watendea watoto wa wenzetu kwa kutumia vyeo tulivyopewa na wananchi ndivyo watoto wetu watakavyo tendewa huku tukishuhudia ,wakati huo hatutaweza kufanya lolote sababu tutakuwa hatuna mamlaka yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…