TANZIA Mama Mzazi wa Lulu diva amefariki


Apumzike kwa amani.

Angalizo:

 
Lulu Diva? Hivi diva ana mtoto anaitwa Lalu?
 
Mwanamuziki ni yule anayejua kupiga Alla zote za music kwa mf guitor, trampeture, rizm,kinanda, na vyombo vya asili kama malimba, ngoma, zeze na kazarika.

Sasa huyo Luludivai sijui kama anauwezo wa kupiga hivyo vyombo[emoji16][emoji16][emoji16]
Asante kwa kunijuza hivyo huyu ni bora kumuita Msanii tu bila shaka.
 
Kasomi weka more details mzee baba.

Picha za mama Diva na Lulu.

Ni mtu mmoja na Amba Lulu au watu tofauti?
Hapana Lulu diva na amber ni watu tofauti kabisa.
Ngoja niingie library kuzisaka picha ziwe hapa.
 
Huyu Lulu diva ndio nani hasa?, Je, ana undugu wowote na Amber lulu, Lulu Michael, Divatheboss au haya majina ni ya mtu mmoja
Hapana hawana uhusiano wowote Kati ya wote tajwa hapo juu.
Mfano amber lulu mtu wa Mbeya, Lulu diva Tanga japo na divathebawse nae ni tangu hapo majina hayo wanatumia kama majina ya sanaa.
 
Huyu mama kateseka sana, heri apumzike kuumwa miaka mingi huongei, hujigusi hufanyi chochote inasikitisha kuanzia kwake Hadi waliokuwa Wana mtunza
Kweli maana ameteseka sana kwa muda wote huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…