Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeridhika?Huyu Lulu diva ndio nani hasa?, Je, ana undugu wowote na Amber lulu, Lulu Michael, Divatheboss au haya majina ni ya mtu mmoja
Asante kwa ujumbe lakini wimbi hili halihusiki kwa Mama huyu maana aliugua kwa miaka mingi.
Nashukuru kwa taarifa
Rip kwakweli kapambana naye sana. Alifanya juhudi sana juu ya mama yake.Mama Mzazi wa Luludiva amefariki.
Mama Mzazi wa mwanamziki (Msanii wa Bongo fleva) Luludiva amefariki dunia desemba 19, 2021.
Kwa mujibu wa Lulu diva alisema mama yake aliugua kwa muda mrefu na amekuwa akimuuguza kwa miaka mingi.
R.I.P mama Lulu diva
Umepotea selfika!R.I.P-MAMA Luludiva
Kwema mkuu!
Vizuri sana kama ni kwema mkuuKwema mkuu!
Apumzike Kwa amani mama Lulu Diva
Kweli kabisa.Msiba unafanyikia wapi tukawape Pole wafiwa?
Acha uwongo!LULU DIVA ni ndugu na Idrisa Sultan
Baba mkubwa na mdogo
UpdatesMsiba unafanyikia wapi tukawape Pole wafiwa?
Muuza madawa fulani hiviAnajihusisha na nini huyo Lulu Divai huwa namsikia