TANZIA Mama Mzazi wa Lulu diva amefariki

Asante kwa ujumbe lakini wimbi hili halihusiki kwa Mama huyu maana aliugua kwa miaka mingi.

Wewe hujui kuwa mawimbi haya ndiyo safisha safisha ya waliougua muda mrefu na wazee?

Kwani mzee baba hakuwa na ugonjwa wa moyo pia?
 
Rip kwakweli kapambana naye sana. Alifanya juhudi sana juu ya mama yake.
 
Hii inchi ina watu unaweza kua unawasikia sikia lakini hujui wanafanyaga nini maana Dar es Salaam imebeba watu wengine ambao hawaeleweki
 
Wewe hujui kuwa mawimbi haya ndiyo safisha safisha ya waliougua muda mrefu na wazee?

Kwani mzee baba hakuwa na ugonjwa wa moyo pia?
Kweli ngoja tuchukue tahadharu japo tunaambiwa hakuna wimbi la nne.
 
Hii inchi ina watu unaweza kua unawasikia sikia lakini hujui wanafanyaga nini maana Dar es Salaam imebeba watu wengine ambao hawaeleweki
Unataka kuongelea Lulu diva? Au kuna wengine.
 
Msiba unafanyikia wapi tukawape Pole wafiwa?
Updates
===
Mwili wa mama Mzazi wa Lulu diva kuagwa juma pili tarehe 19/12/2021 majira ya saa 10 jioni katika hospital ya Lugalo jijini Dar es salaam.

Baadaye utasafirishwa kwenye mkoani Tanga Wilaya ya Mheza kwa ajili ya mazishi yatakayo fanyika juma nne desemba 21,2021
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…