TANZIA Mama Mzazi wa Lulu diva amefariki

Hapana hawana uhusiano wowote Kati ya wote tajwa hapo juu.
Mfano amber lulu mtu wa Mbeya, Lulu diva Tanga japo na divathebawse nae ni tangu hapo majina hayo wanatumia kama majina ya sanaa.
Hapana. Divathebawse ni mhaya mama ndo mtu wa Tanga, na Lulu Diva ni mtu wa Arusha, mama ndio wa Tanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…