The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,748
- 3,229
Huo ukoo una shida sana waangalie nafikiri watakuwa na maagano naufahqmu vizuri sana inabidi waende madhabahuni kuomba toba, ni ukooo ambao hawaeleni. Baba mkubwa na baba mdogo hawaelewani na mara watoto wa baba mkubwa na wa mdogo kila wwatu wanaishi kivyao kabisa hakuna upenddo ni wa binafsi sana naufahamu sana
Je Martha Hana mume, na hana watoto wengine baada ya huyo mwanae wa kwanza?Hawataki kusema kiini cha tatizo. Ukweli ni kwamba huyo Joan ndio mume wa Martha anamsugua rosecoco yake hao ni malesbian Joan ndiye anayeamua kila kitu sababu yeye ndio mume. That mwimbaji ni just another daudghter of satan ndio maana hawezi hata kumjali mtoto wala ndugu zake. Saitani mkubwa.
Hamna kitu Kama hicho wachungaji wanawaibiaNaona wajenzi huru wanajitahidi kumtetea mwenzao
Kukomaa nae NI wajibu wako na sio uwekezaji. Na kama ni uwekezaji huyo Beatrice amemlipa nini huyo mama? Mzazi mwenye hekima hawezi kutoka hadharani kumharibia mwanae hata kama hamsaidii..Unadhani hapo ndio atapata solution au ndio ametia petrol kwenye Moto??? Tafuta pesa zako ukizeeka usiwalaumu watoto na mkome kuwafanya watoto vitega uchumi vyenuWatu humu mnatetea ujinga tu...imagn mtot umekomaa nae kipnd chote Hadi anajipata afu unaskia anasaidia mtu baki ambaye Hana hata ubini nae...ila we unakula tu msoto ...kibinadamu inauma
Nani alimlazimisha awazae wengi? Ujighulishe mwenyewe Kwa mitamaa yako ya kimwili alafu baadae uone kama umewasaidia kuwaleta Duniani..Maisha yenyewe ya Dunia hii magumu Sana alafu wewe uone fahari kumzaa Mtoto??Usiseme ivyo mzazi anawalea watoto sita maisha yake yote kapambana kuwasaidia
Mzazi hamsaidii Mtoto anatekeleza wajibu wake Kwani walikubaliana amkere Duniani? Umlete mwenyewe bila ridhaa yake alafu useme eti unamsaidiaSawa how comes unakuja kusema kwamba hajajipanga maisha ya uzeeni wakat nguvu zote kamaliza kuwasaidia ninyi tukumbuke tuliko toka
Saidien wazaz wajalaana wakubwa nyie....unatetea ujinga...Yan uache mzaz aliekuzaa anakula msoto ukasaidie watu baki ambao hawana msaada pind yakikukuta makubwaKukomaa nae NI wajibu wako na sio uwekezaji. Na kama ni uwekezaji huyo Beatrice amemlipa nini huyo mama? Mzazi mwenye hekima hawezi kutoka hadharani kumharibia mwanae hata kama hamsaidii..Unadhani hapo ndio atapata solution au ndio ametia petrol kwenye Moto??? Tafuta pesa zako ukizeeka usiwalaumu watoto na mkome kuwafanya watoto vitega uchumi vyenu
Ko mimi uli nidanganya ehh Kelsea, aiseeAah wee acha uongo bwana, labda rangi ila vingine hapana.
Una mjua flaviana matata, kumbe una fanana na Martha.πJamani kukudanganya nini tena?
Rangi tu. Flavi na Martha wanaendana rangi.Una mjua flaviana matata, kumbe una fanana na Martha.π
Nah, uko poa lakini flavi πRangi tu. Flavi na Martha wanaendana rangi.
Niko poa. Uliendaga wapi sijakuona mudaNah, uko poa lakini flavi π