Mama mzazi wa Martha Mwaipaja alia kwa uchungu, akithibitisha kuwa mwanae huyo hamsaidii kutokana na mzozo na mdogo wake Beatrice

Mama mzazi wa Martha Mwaipaja alia kwa uchungu, akithibitisha kuwa mwanae huyo hamsaidii kutokana na mzozo na mdogo wake Beatrice

Huo ukoo una shida sana waangalie nafikiri watakuwa na maagano naufahqmu vizuri sana inabidi waende madhabahuni kuomba toba, ni ukooo ambao hawaeleni. Baba mkubwa na baba mdogo hawaelewani na mara watoto wa baba mkubwa na wa mdogo kila wwatu wanaishi kivyao kabisa hakuna upenddo ni wa binafsi sana naufahamu sana
 
Familia ya laana ile cursed family.
 
Wanakoboana hao ila joan ndo mume kwenye mikoba yao hawakosi madildo
 
Hawataki kusema kiini cha tatizo. Ukweli ni kwamba huyo Joan ndio mume wa Martha anamsugua rosecoco yake hao ni malesbian Joan ndiye anayeamua kila kitu sababu yeye ndio mume. That mwimbaji ni just another daudghter of satan ndio maana hawezi hata kumjali mtoto wala ndugu zake. Saitani mkubwa.
Je Martha Hana mume, na hana watoto wengine baada ya huyo mwanae wa kwanza?
 
Watu humu mnatetea ujinga tu...imagn mtot umekomaa nae kipnd chote Hadi anajipata afu unaskia anasaidia mtu baki ambaye Hana hata ubini nae...ila we unakula tu msoto ...kibinadamu inauma
Kukomaa nae NI wajibu wako na sio uwekezaji. Na kama ni uwekezaji huyo Beatrice amemlipa nini huyo mama? Mzazi mwenye hekima hawezi kutoka hadharani kumharibia mwanae hata kama hamsaidii..Unadhani hapo ndio atapata solution au ndio ametia petrol kwenye Moto??? Tafuta pesa zako ukizeeka usiwalaumu watoto na mkome kuwafanya watoto vitega uchumi vyenu
 
Saidien wazaz wajalaana wakubwa nyie....unatetea ujinga...Yan uache mzaz aliekuzaa anakula msoto ukasaidie watu baki ambao hawana msaada pind yakikukuta makubwa
 
Sijamsikiliza huyo mama ila kitendo cha kuongea maneno kama hayo hadharani ni ishara kwamba hana busara na hekima pia usiombe update wazazi wa namna hii utajuta yaani yeye akikuomba kitu ukamwambia sina ni kosa atatangaza kote kwamba u mbaya ili Hali kukosa ni kitu cha kawaida ktk Maisha.
 
Back
Top Bottom