Mama mzazi wa Martha Mwaipaja alia kwa uchungu, akithibitisha kuwa mwanae huyo hamsaidii kutokana na mzozo na mdogo wake Beatrice

Mambo ya familia kuyapeleka kwenye vyombo vya habari ni Ufala na Ushamba uliotukuka.

Media zitapata views na pesa, nyinyi kama familia mtapata nini?

Tangu mnapata akili kuna mtu amewahi kushuhudia Media ikitatua mgogoro wa kifamilia? Zaidi watachochea tu ili wapate pesa.

Huyu mama ni mshamba, mdogo ake Martha ni mshamba na Martha mwenyewe akija kujibu kupitia Media naye atakuwa mshamba pia.
 
Tatizo awazijui amri za dini zao ...
Amri inasema usitamani mali ya jirani yako wala mke wake wala mume wake wala watoto wake wala mtumishi (mjakazi) (joan)wake wala chochote alichonacho. Kisha kuna amri inasema mali na fedha mtu utoa kwa babaye(mamaye) aisemi mali na fedha mtu utoa kwa wanawe .....kama marth ajamdhumu mtu yoyote kwenye familia yake hana kosa lolote tatizo huyo mzazi na mtoto wake wa kike wana uchu wa mali za Marth...yesu anasema masikini mnao siku zote na mkitaka naweza kuwa saidia ..ni hiyari.
HUYO MAMA NA TOTO LAKE MIPUMBAVU INA TAMANI MALI ZA MARTH WANATAMANI MJAKAZI WA MARTH WANATAMANI FEDHA ZA MARTH NK KINYUME NA MAANDIKO YA DINI ZAO
 
Hapana labda kama na wewe usaidii kwenu
Ninaposema washenzi ni jinsi wanavyoanika mambo yao hadharani. Zaidi ya kujidhalilisha hakuna msaada wowote watakaopata zaidi ya kutoa contents kwa watoa habari na kuwanufaisha wao.

Kesho itakuja habari nyingine inayotrend zaidi na wao na kadhia zao watasahaulika. Kuna wakati katika maisha ni busara zaidi kukaa kimya na kuacha ulimwengu umhukumu mtu kuliko kutoa mambo yako hadharani na mwisho wa siku ubaki na hali ile ile tu kimaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…