Mama mzazi wa Martha Mwaipaja alia kwa uchungu, akithibitisha kuwa mwanae huyo hamsaidii kutokana na mzozo na mdogo wake Beatrice

Hii familia imeamua kumchafua kabisa binti yao.

Hii sio sawa hata kidogo.
Tatizo awazijui amri za dini zao ...
Amri inasema usitamani mali ya jirani yako wala mke wake wala mume wake wala watoto wake wala mtumishi (mjakazi) (joan)wake wala chochote alichonacho. Kisha kuna amri inasema mali na fedha mtu utoa kwa babaye(mamaye) aisemi mali na fedha mtu utoa kwa wanawe .....kama martha ajamdhumu mtu yoyote kwenye familia yake hana kosa lolote tatizo huyo mzazi na mtoto wake wa kike wana uchu wa mali za Marth...yesu anasema masikini mnao siku zote na mkitaka naweza kuwa saidia ..ni hiyari.
HUYO MAMA NA TOTO LAKE MIPUMBAVU INA TAMANI MALI ZA MARTH WANATAMANI MJAKAZI WA MARTH WANATAMANI FEDHA ZA MARTH NK KINYUME NA MAANDIKO YA DINI ZAO
 
Embu tunzeni wazazi wenu kuepusha aibu
 

Pesa huwa zina masharti
 
Hii familia yote ni ya kishenzi tu.
Tatizo awazijui amri za dini zao ...
Amri inasema usitamani mali ya jirani yako wala mke wake wala mume wake wala watoto wake wala mtumishi (mjakazi) (joan)wake wala chochote alichonacho. Kisha kuna amri inasema mali na fedha mtu utoa kwa babaye(mamaye) aisemi mali na fedha mtu utoa kwa wanawe .....kama marth ajamdhumu mtu yoyote kwenye familia yake hana kosa lolote tatizo huyo mzazi na mtoto wake wa kike wana uchu wa mali za Marth...yesu anasema masikini mnao siku zote na mkitaka naweza kuwa saidia ..ni hiyari.
HUYO MAMA NA TOTO LAKE MIPUMBAVU INA TAMANI MALI ZA MARTH WANATAMANI MJAKAZI WA MARTH WANATAMANI FEDHA ZA MARTH NK KINYUME NA MAANDIKO YA DINI ZAO
 
Hujui kuchuja taarifa, zote za uongo na kweli unazibeba unazitupa humu
Ndio maana nikakupa taarifa kua hiyo online tv sio chanzo cha kuaminika
Unashiriki kumchafua mtu kitu ambacho sio kizuri kuna habari zikiletwa na wanawake ni sawa.
Angekuwa ana muhudumia mzazi wake haya watu tusinge yajua mnatelekeza wazaz wenu af mnataka mfichiwe siri
 
Mh watu hawataki kutunza wazazi wao
 
Sie wengine wazazi walishatangulia mbele ya haki tunatamani wangekuwepo, ila tunawaombea pumziko la milele tu.

Ila kwenye familia kuna mambo . mengi sana ya siri asikwambie mtu, si ajabu kuna Siri ambayo wote wanaificha either Kwa aibu au wataonekana namna gani Kwa watu.
 
Mh watu hawataki kutunza wazazi wao
Unajua maana ya haya maneno ya yesu ...waache wafu wazike wafu wao ...mzazi mwovu wakazi gani ..je unaelewa nini yesu alipo sema mzazi ni nani na mzazi wake ni nani ...yesu mwenyewe kasema mzazi ni yule atendaye haki siyo yule wa kuzaana...anasema mzazi wangu mimi yesu na ndugu yangu mimi yesu ni yule tu atendaye mapenzi ya Mungu ....maana yake ni kwamba aangalii umemzaa au la anachoangalia yeye ni haki ya mungu tu
 
Kazini kwenu hakuna wazaz au wake wanaokuja kulalamika kuwa hawatunzwi? Tofauti ni kwamba wao ni maarufu tu wanajina
 
Tunatunza kwa Wazazi kwasababu tunatakiwa kuwatunza, hatufanyi hivyo kwa kuwa watu watasema hivi au vile.

Ukiona unafanya jambo kwa kuhofia watu watasema hivi basi tambua hulifanyi kutoka moyoni.
Sasa kosa la uyo mama ni lipi?
 
Huyo mama ndiyo mpumbavu kwa asilimia 100
Wewe ndiye Martha Mwaipaya ? Mbona unamtukana Mama yako ? Uchungu wa mtoto huujui. Kumkana mama/baba aliyekuzaa ni laana. Huyo mama angeweza kuamua Martha afe au aishi alipokuwa tumboni au mdogo. Amsingizie iweje tena mbele ya media. Nguvu za giza na mapepo zimejaa kwenye ulokole. Martha has been taken by demons.
 
Atakama amtunze mama yake
Ndiyo nakwambia yalimo humo wanayajua wenyewe, kwani Martha yeye anasemaje? Sizani kama Martha kawa mjinga au hajielewi aanze tu hapo kuna kitu walitakiwa waanzie kwenye familia kwani ndugu zao si wapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…