Una akili fupi sana we dogo halafu kwenye mambo ya familia huna uzoefu nayo ni bora ukafunga akili yako tu.Sikia hakuna mtu atoke uko kwenda kumsaidi mama yako ni jukumu lako wewe kumsaidia ila watoto wasikuizi hawataki
Huyo itakuwa maisha bado ndiyo anayaanza , hata mie nimeshangaa kutukana badala ya kueleweahana msamehe tuMbaya mnoo Mkuu. Kumtegemea mtu na ninamweleza huyu dogo Mwachiluwi matokeo yake anaishia kunitukana.
Tumeshapitia hizo process na tumeamua kuweka imani zetu kwa Allah na sio mtu yeyote yule. Sometimes unaweza ukaamua ku share maumivu yako kuwatia moyo wengine lakini sio kulalamika. You won't gain anything from complaining.
Wanaotupwa vyooni, baada ya kuzaliwa nani huwa ameamua. Wanaowanyonga na kuwatelekeza majalalani huwa nani ameamua. MUNGU ni mkuu, haikwepeki. Bado mzazi ana maaumuzi asilimia π― juu ya hatma ya mtoto. Mzazi aheshimiwe na kutunzwa.Anaye amua mtu kuishi au kufa kwa mujibu wa dini zenu ni mama au Mungu ?
Sijaona akilazimisha msaada, nimesikia akilalamika mwanae amemkana kuwa sio mama yake. Usimtetee laanaUna akili fupi sana we dogo halafu kwenye mambo ya familia huna uzoefu nayo ni bora ukafunga akili yako tu.
Migogoro kama hii yakina Mwaipaja haisuruhishwi mitandaoni na kwanza huyo Mama hana hata busara unalazimisha vipi msaada ?
Sijajua kama ni mama yake kweli ngoja tuone itakapoendelea"Mimi ni mama yako mwanangu. Mama Paschal unamjua mwanangu, ndiye mama ambaye nilikuambia wewe alikupokea wakati ninakuzaa wewe mwanangu. Leo unasema mimi SIYO mama yako ?!! ..."
Kwako mkuu Dejane utupe mawili matatu hapa. π
-Kaveli-
Ila kuna mahali tuna kwama watotoNamshukuru Mungu sana Sikuwahi kuwa na mzazi ambaye anatoka kwenda kuongea nje, mtoto wake akitereza anamwambia hapo hapo, na walikuwa washauri mpaka Kwa wakwe zao, ukiwapa kila mara Kwa mara lazima akwambie nawewe unajiwekeza ? Sio kutuletea sie kila siku kwanza anza kujenga nyumba sisi maisha tulishaanza kwahiyo walikuwa wazazi.
Sasa kuna mzazi anataka kushindana hapana, umemzaa mtoto wako kakua sio ndiyo uanze kumtesa Kwa mali anayotafuta nyie ndiyo wale vijana awakioa mnaona wake zao wanafaidi kuliko wazazi, sasa nani anamuoaga mzazi wake?
Mshamba mshamba sana huyu dogo, naonaga Cimments zake. Anajionaga mjanja kumbe mjinga mjinga tu. Na hajui maana halisi ya maisha.Huyo itakuwa maisha bado ndiyo anayaanza , hata mie nimeshangaa kutukana badala ya kueleweahana msamehe tu
Usiseme ivyo mzazi anawalea watoto sita maisha yake yote kapambana kuwasaidiaHao wazazi walishindwaje kujisaidia wao wenyewe?
Mzazi mpumbavu, mvivu na mjinga ambaye Alishindwa kujiandalia maisha yake bora ya uzeeni, Hapaswi kuanza kusumbua sumbua watoto wamsaidie.
Sio wajibu wala jukumu la mtoto kumsaidia mzazi.
Ni wazazi wajinga na wapumbavu pekee ndio hushinikiza watoto wao wawasaidie.
Absolute βπΏMbaya mnoo Mkuu. Kumtegemea mtu na ninamweleza huyu dogo Mwachiluwi matokeo yake anaishia kunitukana.
Tumeshapitia hizo process na tumeamua kuweka imani zetu kwa Allah na sio mtu yeyote yule. Sometimes unaweza ukaamua ku share maumivu yako kuwatia moyo wengine lakini sio kulalamika. You won't gain anything from complaining.
Hajielewi elewi anazani wote ndiyo wanaanza maisha sahizi kumbe tunajua kila kitu, hajawahi kuona wazazi wanavyobagua watoto wao, halafu hao hao ndiyo wanafanikiwa sikia sasa kelele za mzazi!Mshamba mshamba sana huyu dogo, naonaga Cimments zake. Anajionaga mjanja kumbe mjinga mjinga tu. Na hajui maana halisi ya maisha.
Na yote hayo huwa ni malezi ya wazazi, mzazi humpi mtoto muongozo mzuri halafu unataka mtoto awe mzuri, tabia za mzazi na mtoto anafuata humo humoIla kuna mahali tuna kwama watoto
Ni wajibu wa mzazi kumtunza mtoto wake, sio wajibu wa mtoto kutunza wazazi, ni hisani tu.Watu humu mnatetea ujinga tu...imagn mtot umekomaa nae kipnd chote Hadi anajipata afu unaskia anasaidia mtu baki ambaye Hana hata ubini nae...ila we unakula tu msoto ...kibinadamu inauma
πππHajielewi elewi anazani wote ndiyo wanaanza maisha sahizi kumbe tunajua kila kitu, hajawahi kuona wazazi wanavyobagua watoto wao, halafu hao hao ndiyo wanafanikiwa sikia sasa kelele za mzazi!
Wanaotupwa vyooni, baada ya kuzaliwa nani huwa ameamua. Wanaowanyonga na kuwatelekeza majalalani huwa nani ameamua. MUNGU ni mkuu, haikwepeki. Bado mzazi ana maaumuzi asilimia π― juu ya hatma ya mtoto. Mzazi aheshimiwe na kutunzwa.
Usiseme ivyo mzazi anawalea watoto sita maisha yake yote kapambana kuwasaidia u
Mumsamehe bure. Wengine hawajawahi hata kubeba mimba,(mke) au kupata mtoto (mwanaume). Wataropoka lolote bila kuwaza au kuchuja. Kuna mzazi mmoja aliwahi kutumia mil 10 kwa kila mwaka, kusomesha watoto huku akiokoteza na kuvaa nguo zilizopauka. Leo mtoto kama huyo amgeuke baba/mama na mzazi anyamaze ?Mshamba mshamba sana huyu dogo, naonaga Cimments zake. Anajionaga mjanja kumbe mjinga mjinga tu. Na hajui maana halisi ya maisha.
Kama mzazi anazaa watoto sita si ina maana ana uwezo wa kuwasaidia?Usiseme ivyo mzazi anawalea watoto sita maisha yake yote kapambana kuwasaidia
Mzazi ukishazaa mtoto ni jukumu lako kumlea na sio msaada huo , hilo ni jukumu lako,mtoto hajakutuma umlete duniani.Usiseme ivyo mzazi anawalea watoto sita maisha yake yote kapambana kuwasaidia