Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Una akili fupi sana we dogo halafu kwenye mambo ya familia huna uzoefu nayo ni bora ukafunga akili yako tu.Sikia hakuna mtu atoke uko kwenda kumsaidi mama yako ni jukumu lako wewe kumsaidia ila watoto wasikuizi hawataki
Migogoro kama hii yakina Mwaipaja haisuruhishwi mitandaoni na kwanza huyo Mama hana hata busara unalazimisha vipi msaada ?