Mama mzazi wa Martha Mwaipaja alia kwa uchungu, akithibitisha kuwa mwanae huyo hamsaidii kutokana na mzozo na mdogo wake Beatrice

Nimemsikiliza vizuri mama yake. Sijaona mahala kataja kuhitaji msaada. Nimeona hisia na uchungu kwa mtoto kumkana mama yake. Mnapotetea zungumzieni na hilo.
 
Noma sana
Hebu tumsikilize huyu mama wana JF, hivi kweli vilio vya Beatrice na vya mama yake vinaweza kuwa vya uongo?

Kwamba wanamsema Martha ili iweje?

Amemwomba sana Mheshimiwa Waziri Doroth Gwajima aingilie, amsaidie kurudisha umoja kwenye hiyo familia.
Noma sana!
Alafu mnafanana na Martha😁
Sana
 
Kwanza huku uzunguni. Mzazi akisha zeeka anakwenda kwenye nyumba za wazee anakwenda kulelewa huko.

Kwa wale watoto watakao kuwa na uwezo na muda wa kulea wazee wao ndio watawabakisha majumbani.

La sivyo mzazi lazima aende nyumba za kutunzia wazee, Na ninyi watoto mtakuwa mkienda kumsalimia akiwa huko.

Huku watu wako busy na kazi, biashara na kulipa bills.

Bills hazilali, Na hakuna mtu ana time ya kusaidiana.
 
Una akili fupi sana we dogo halafu kwenye mambo ya familia huna uzoefu nayo ni bora ukafunga akili yako tu.

Migogoro kama hii yakina Mwaipaja haisuruhishwi mitandaoni na kwanza huyo Mama hana hata busara unalazimisha vipi msaada ?
Mh ngoja ninyamaze
 
Mzazi ukishazaa mtoto ni jukumu lako kumlea na sio msaada huo , hilo ni jukumu lako,mtoto hajakutuma umlete duniani.
Sawa how comes unakuja kusema kwamba hajajipanga maisha ya uzeeni wakat nguvu zote kamaliza kuwasaidia ninyi tukumbuke tuliko toka
 
Nimemsikiliza vizuri mama yake. Sijaona mahala kataja kuhitaji msaada. Nimeona hisia na uchungu kwa mtoto kumkana mama yake. Mnapotetea zungumzieni na hilo.
Akikanwa ndio aanze kuja kwenye vyombo vya habari kupayuka payuka?

Yeye aendelee na maisha yake, Mtoto hawezi kukukana hivihivi tu. Lazima kuna sababu.
 
Sawa how comes unakuja kusema kwamba hajajipanga maisha ya uzeeni wakat nguvu zote kamaliza kuwasaidia ninyi tukumbuke tuliko toka
Hiyo ni busara tu ila mzazi anapaswa kuangalia future ya mtoto na ya kwake uzeeni pia , mtoto kuja kumsaidia mzazi aliye zembea hilo ni busara tu na sio lazima.
 
Sawa how comes unakuja kusema kwamba hajajipanga maisha ya uzeeni wakat nguvu zote kamaliza kuwasaidia ninyi tukumbuke tuliko toka
Sasa kwa nini amwandame mtoto mmoja tu kwamba hamsaidii, kwani ni lazima uje usaidiwe na watoto wote?
 
 
Shida ni Martha ana kiwanda cha ukoboaji na huyo mtoto joan. ndio maana ana nguvu sana. na shem aliruka na shem sababu Martha alikuwa hamuhudumii mzee ipasavyo. sasa kasahau hadi mamá yake .......ugomvi wowote wa hawa viumbe ....jua tu ni love triangle
 
Wanaotupwa vyooni, baada ya kuzaliwa nani huwa ameamua. Wanaowanyonga na kuwatelekeza majalalani huwa nani ameamua. MUNGU ni mkuu, haikwepeki. Bado mzazi ana maaumuzi asilimia 💯 juu ya hatma ya mtoto. Mzazi aheshimiwe na kutunzwa.
Basi hata yesu wenualistahili kutupwa chooni maana na yeye anasema kuwa baba na mama na ndugu zake ni wale tu wamchao mungu siyo habari za tumbo moja au kuzaa
 
Eti unalazimika kulea, kutunza, kujinyima,.kuteseka,.kukopa, kuuza chochote na kuwa maskini, kwa kulea watoto ambao una hakika watakukataa/kukukana, watakutukana, watakupiga,.watakutelekezabama hata kukuua !!!! Kuzaa kuna faida gani sasa. Si bora niponde mali na kuwekeza nizeeke na vyangu. Wazazi asilimia kubwa wako tayari kufa kwa ajili ya watoto lakini watoto asilimia kubwa wako tayari kuuwa wazazi kwa ajili ya mali.
 
Sawa how comes unakuja kusema kwamba hajajipanga maisha ya uzeeni wakat nguvu zote kamaliza kuwasaidia ninyi tukumbuke tuliko toka
Ndiyo wazazi wenye nguvu bado muone. Watoto hawana hisia wala upendo nanyi. Jiandaeni seriously kwa uzee wenu. Mtatukanwa matusi yote, kwa kuwapenda watoto kupitiliza. Nashauri sass kila mzazi mwenye uwezo ashtuke ajiandae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…