komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Nimemsikiliza vizuri mama yake. Sijaona mahala kataja kuhitaji msaada. Nimeona hisia na uchungu kwa mtoto kumkana mama yake. Mnapotetea zungumzieni na hilo.Kama mzazi anazaa watoto sita si ina maana ana uwezo wa kuwasaidia?
Au anazaa watoto sita akitegemea nani aje amsaidie kulea?
Halafu kama mzazi anazaa watoto sita kwani lazima aje asaidiwe na kila mtoto?
Kwa nini mzazi aangalie mtoto mwenye uwezo tu ndio amtwike jukumu la kumsaidia?
Kwa nini mzazi amlaumu mtoto mwenye uwezo tu, kwamba ndio anapaswa kumsaidia?
Kwa nini asiwalaumu hao watoto wengine kwa kushindwa kuwa na uwezo wa kumsaidia?
Kwa nini target ni kwa mtoto aliyefanikiwa tu?