Shida ni uhalali wa mashitaka dhidi yake, kuna shinikizo la kisiasa nyuma yake.RIP mamaa.
Napata tabu kidogo hapa. Hivi mtuhumiwa yoyote anaweza kuachiwa kabla mahakama haijadhibitishwa mashitaka juu yake kisa ana mgonjwa, watoto au majukumu fulani? ( wajuzi wa sheria mtusaidie).
Endapo kasingiziwa na mtu kwakweli tutupe lawama ila vinginevyo uwezo wetu wa kufikiri ni shiiida tulio wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushetani wangu upo wapi
Labda kwenye civilized and educated society lkn sio kwetu,huku lengo la kuwekwa ndani ili unyooshweRIP mamaa.
Napata tabu kidogo hapa. Hivi mtuhumiwa yoyote anaweza kuachiwa kabla mahakama haijadhibitishwa mashitaka juu yake kisa ana mgonjwa, watoto au majukumu fulani? ( wajuzi wa sheria mtusaidie).
Endapo kasingiziwa na mtu kwakweli tutupe lawama ila vinginevyo uwezo wetu wa kufikiri ni shiiida tulio wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama tusipowasamehe wanaotuudhi nasi Baba wa mbinguni atotusamehe makosa yetu nasi twasali bure.
Alisema Erick anaandika makala kwenye gazeti la "The Economist" linalokosoa sera za JiweHuyo “Jonalist” alipochongea alisema ‘Erick’ kafanya kosa gani?
Alisema Erick anaandika makala kwenye gazeti la "The Economist" linalokosoa sera za Jiwe
Maneno ya uchungu sana haya