Jerusalem2006
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 433
- 2,109
Unaendelea kudhihirisha nilichosema. Mwanaume akijichanganya aoe mke type yako hakuna rangi ataacha kuona. Sorry, naomba niishie hapa.Wewe ndo utalia na kusaga nywele
Haya maneno yako hayashtui
Kwanza huyo mama ana act tu we yani hatii hata huruma 😅