Mama Polepole: Nirudishieni mwanangu akiwa hai au amekufa, alikuwa mtoto wa kipekee

Mama Polepole: Nirudishieni mwanangu akiwa hai au amekufa, alikuwa mtoto wa kipekee

BBC imezungumza na mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole katika mahojiano maalum.

AnnaMary Polepole amesisitzakatika mahojiano hay kuwa arudishiwe mtoto wake- Humphrey Polepole akiwa hai au amekufa.

Hata hivyo mapema leo, jeshi la polisi lilisema kuwa limeanzisha rasmi uchunguzi wa tuhuma za kutekwa kwa Humphrey Polepole.

Hata hivyo katika taarifa hiyo wameongeza kuwa wanamtafuta ndugu wa Humphrey Polepole, aitwaye Augustino Polepole kuthibitisha tuhuma hizo.

Aisee mama yangu ni marehemu ,Mungu aiweke roho yake pema peponi, alinipenda sana sana mimi na ndugu yangu ,naona pia bi mkubwa uchungu alionao,

Nakumbuka mwaka flani nilipata ajali kwenye road mama alipambana sana maana mzee wetu alitangulia mapema kabla ya mama, aisee inaumiza sana , mama zetu Mungu awape maisha marefu popote mlipo
 
Huyu sio mnafiki kama mama HP
MAMA HP ANAIGIZA TU
mwanae yupo na hilo analijua
Samia The Killer na majambazi wake wanatumia Law of the Jungle. Kama unaona wenzako wanaigiza, basi subiri. Hata wewe utakapotishia maslahi yao ipo siku familia yako itaigiza!
 
Sijaelewa hio title head umesema wewe au?
Kuna heading nyingine unayoiongelea? kama ni hii ya sasa, Kwenye Video mama anasema, Mwl Nyerere hakutufundisha uonevu, ku treat watu kama manyati au matembo ya porini.
 
BBC wamekata kipande chenye maelezo ya muhimu

Mama anaanza kwa kusema "amuachie mwanangu" hiyo ina maana kuna mtu alitajwa hapo ila BBC ikaona ikate hicho kipande.

Sijajua wamefanya hivyo kwa kumlinda huyo Mama au kujilinda wenyewe.
Nadhani BBC walichofanya n kubalance story, inawezekana mama amemtaja mtu ila je ni kweli huyo aliyetajwa amehusika? Hvy kuna namna BBC wapo sahihi kujilinda wao kwanza.
 
Back
Top Bottom