The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,704
- 1,984
Inasikitisha sana, siioni Tanzania ikikomboka kwa watu tulionao,
Woga, ubinafsi na unafiki vimeshikamana na watanganyika
Woga, ubinafsi na unafiki vimeshikamana na watanganyika
Huyu mama ni actress sawa!?Upo kwenye ubongo wake ukagundua hatii huruma , kutia kwake huruma mpaka wewe uone kutasaidia nini
Haina mashiko hoja yakoHiyo ni hoja and if it's beyond your scope that's great coz your bellicosity is definitely crashed in tiny pieces.
According to your pathetic level of understanding, some arguments are meant for big brains only.Haina mashiko hoja yako
Nimeona watu wanaleta ishu ya Kabendera kana kwamba Pole pole alihusika, ni kama wanataka kuhalalisha kutekwa kwa Pole pole.Polepole alimfanya nini kabendera?
Umewahi kuishi naye?🤣🤣🤣🤣
Mama wa kwanza kutojua tabia za mwanae...et HP ana upendoo😅
🚮 kiazi weweHoja kuhusu nini?
Hoja nimeshatoa ninyi mazwazwa ndo hamuelewi
Sasa mlevi utamuelewesha kitu gani akuelewe😅
Ndio watuambie alimfanya nini?Nimeona watu wanalete ishu ya Kabendera kana kwamba Pole pole alihusika, ni kama wanataka kuhalalisha kutekwa kwa Pole pole.
Gen Z wa wapi? Kenya?Haya mahojiano ya mama mzazi wa Polepole yataamsha yaliyolala. Yanagusa sana. Kama wanaume wamwachie ama wampandishe kizimbani. Hisia zinaniambia genz watamwonea mama huruma watahamia kumsaidia kumtafuta mwanae
Kwenye hii ishu ya kutekwa Pole pole, mwenezi wa sasa hatajwi kuhusika, unaona double standard ya hawa jamaa?Ndio watuambie alimfanya nini?
Maana yeye alikuwa muenezi tu
Kweli wakuachana nae, amebaki kuwa chawaAchana nae huyo, ila ni kweli ukiwa nje huhitaji VPN.
Hajamfanyia chochote,nimetolea tu mfano wa hao mama zao,ila tu wakati kabendera anapitia mateso,polepole alikua namba 4 kiuongozi ccmPolepole alimfanya nini kabendera?
Kwenye Chama.Hajamfanyia chochote,nimetolea tu mfano wa hao mama zao,ila tu wakati kabendera anapitia mateso,polepole alikua namba 4
Lukashenko, jamaa matata sana huyu, kutoka Belarus.Kwenye Chama.
Una uhakika hakukemea kwenye vikao vyao vya ndani?
Achana nae huyo. Hawa wanapewa hela mbuzi wanakuja huku kujaza comments za kipumbavu. Wenzao wanaowatuma wanachota billions of money yenyewe yamekalia kutetea ujinga.Unaendelea kudhihirisha nilichosema. Mwanaume akijichanganya aoe mke type yako hakuna rangi ataacha kuona. Sorry, naomba niishie hapa.