Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Kwann unataka chadema ndio iwatengenezee jukwaa?..kina Mama waliopotelewa na watoto wao waunganishwe wapaze sauti watoto wao wapatikane. Chadema iwatengenezee hawa kina Mama jukwaa.
Cc Erythrocyte
Huu upuuzi wa kutegemea chama cha siasa kikuletee maendeleo ndo mana ccm wanatuona sisi ni mbwa