jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 3,257
- 4,378
Madaraka yamemlevya sana yeye na mwanae. Ila Mungu wetu halali. Yana mwisho haya..Kwa Sasa NAMBA 1 ya utekaji na uuaji ANA SHIKA MAMA baada ya magufuli.
HONGERA MAMA SAMIA.waue mama
Madaraka yamemlevya sana yeye na mwanae. Ila Mungu wetu halali. Yana mwisho haya..Kwa Sasa NAMBA 1 ya utekaji na uuaji ANA SHIKA MAMA baada ya magufuli.
HONGERA MAMA SAMIA.waue mama
Wewe mpumbav mwenye roho ya kishetani usiyekuwa na chembe ya utu, haya maneno unayotamka ipo siku yatakurudia na wewe mpuuzi mkubwa wewe.Rudia kuangalia hiyo clip utagundua ninachosema mama HP actress mzuri sana kama vip apelekwe kwa lamata😅
Nway m tayari nimeshaolewa na nna familia alhamdulilah! Nisijue kwa upande wako kama umeshaolewa au bado!
Kwa hiyo kumbe kabla ya kuonesha ubinadamu ni kufanya kwanza hizi comparisons za kipuuzi kwamba kati ya mama yake na huyu na mama yake na yule ni yupi ambaye machozi yake kisha ndio tuchague wa kumuhurumia si ndio?Wewe ndo utalia na kusaga nywele
Haya maneno yako hayashtui
Kwanza huyo mama ana act tu we huon yani hatii hata huruma 😅
Ukinganisha na mama kabendera enzi zile za HP Akiwa anajiona mungu mtu
Pole sana, Mungu awarehemu na kuwapunzisha mahala pema mama zetu.Aisee mama yangu ni marehemu ,Mungu aiweke roho yake pema peponi, alinipenda sana sana mimi na ndugu yangu ,naona pia bi mkubwa uchungu alionao,
Nakumbuka mwaka flani nilipata ajali kwenye road mama alipambana sana maana mzee wetu alitangulia mapema kabla ya mama, aisee inaumiza sana , mama zetu Mungu awape maisha marefu popote mlipo
Hao wajinga wana mawazo na akili fupi sana, hawana maono hata ya miaka mitano mbele maisha yao yatakuwaje, wao wameamua kusimama na samia kwa kwa uovu wote anaoufanya in the name of muislamu mwenzetu....mnajiamini nini na hizi kufru?
ni huu urais wa samia tu au kuna kingine?
Nilichojifunza kuhusu wabongo kwa hii miaka michache ya Samia, ni kwamba wengi hawaumizwi na matukio ya kikatili wanayofanyiwa watu hasa hawa wana harakati na serikali... bali wanaumizwa na serikali zinazofanya hayo matukio tu basi.Nimeona watu wanaleta ishu ya Kabendera kana kwamba Pole pole alihusika, ni kama wanataka kuhalalisha kutekwa kwa Pole pole.
Nakuelewa sana mkuu, kuna baadhi ya watu huwa wanachukulia mambo simple sana hata yakiwa na uzito gani, ila twende hivihivi tutaelewana tu. Hakuna marefu yasiyo na ncha. Alikuwepo Gaddafi, Sadam Hussein, Mugabe, etc.. wapo wapi!?, kanuni za hii Dunia ni undefined.. Ukiona giza limezidi ujue kunakaribia kukucha..Jana Kuna group letu la chuo Huwa tuna peana update na KUSAIDIANA mambo mbali mbaliii...
Jamaa mmoja alileta ujinga na utoto/ dhihaka eti POLEPOLE karudi lini?
Mzee nilikua napata zangu konyagiiii ndogo kimtindo nilimpa majibu ambayo group Zima likasema jamani tuwe wapole na subra.
Naepuka sana mjadala wa watu aina ya huyo member anae leta dhihaka.
POLEPOLE kipindii cha JPM sikupenda sababu ya mambo yake ila baadae nikaja kumwelewa so hii saga yake na mdude zimeniuma sana sanaa
Chukua hii mkuu, HUYU LAZIMA ANATOKA TANZANIA VISIWANIInasemekana mwanamke anaweza kuwa katili sana kuliko hata shetani mwenyewe, hata wewe unajidhihirisha kwenye comment zako. Uzuri kuna karma na power of nature kwa kila mtu hata nyie mlioshika mpini kwasasasa. Ila nakuhakikishia siku sio nyingi mtalia na kusaga meno. Kuimba ni kupokezana.
Mkiambiwa ukweli mnapanic...poleniKwa hiyo kumbe kabla ya kuonesha ubinadamu ni kufanya kwanza hizi comparisons za kipuuzi kwamba kati ya mama yake na huyu na mama yake na yule ni yupi ambaye machozi yake kisha ndio tuchague wa kumuhurumia si ndio?
Mbona una akili za kitoto sana wewe mwanamke?
Mbona una akili za kipumbav hivyo?
Halafu siku za nyuma kidogo niliona umecomment sehemu kuwa na wewe ni mtumishi kwenye sector ya afya, hivi imekuwaje kwanza ukawa kwenye hiyo sekta ilihali mtu mwenyewe huna hata empathy wala compassion kama binadamu?
Wewe ulipaswa uwe mkufunzi wa wachawi na sio medical worker, maana kwa roho mbaya uliyonayo hata shetani anasubiri.
Kukemea au kutokemea hiyo unasema ww,mimi iko kilio cha mama wa polepole kimenikumbusha kilio cha mama kabendera ndio hoja yangu,hayo mengine siyajuiKwenye Chama.
Una uhakika hakukemea kwenye vikao vyao vya ndani?
Ni Mpumbavu tu pekee ndiye atapambana vikali na Serikali kama alivyofanya halafu bado tena kwa Kujiamini akathubutu kwenda kuishi katika hiyo hiyo nchi yenye Serikali hiyo hiyo anayoisema na kuichafua kutwa halafu akategemea yasimkute makubwa.Pole pole alifanya kosa kurudi tz
Kwa Sasa haisadii,Pole pole alifanya kosa kurudi tz
Bora umesema mkuuUnaendelea kudhihirisha nilichosema. Mwanaume akijichanganya aoe mke type yako hakuna rangi ataacha kuona. Sorry, naomba niishie hapa.
Kwahiyo ipi inasaidia sasa?Kwa Sasa haisadii,
Sasa mama ndio ametoa tabia ya mtoto wake ya kweli. Mtu anawezakuwa na tabia ambazo sio za kwake mbele za watu lakini tabia yake ya ukweli ipo siku itajidhihirisha🤣🤣🤣🤣
Mama wa kwanza kutojua tabia za mwanae...et HP ana upendoo😅
INASIKITISHA SANA SANA SANA 😢😢😢😢😢BBC imezungumza na mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole katika mahojiano maalum.
AnnaMary Polepole amesisitzakatika mahojiano hay kuwa arudishiwe mtoto wake- Humphrey Polepole akiwa hai au amekufa.
Hata hivyo mapema leo, jeshi la polisi lilisema kuwa limeanzisha rasmi uchunguzi wa tuhuma za kutekwa kwa Humphrey Polepole.
Hata hivyo katika taarifa hiyo wameongeza kuwa wanamtafuta ndugu wa Humphrey Polepole, aitwaye Augustino Polepole kuthibitisha tuhuma hizo.
Jana Kuna group letu la chuo Huwa tuna peana update na KUSAIDIANA mambo mbali mbaliii...Unaendelea kudhihirisha nilichosema. Mwanaume akijichanganya aoe mke type yako hakuna rangi ataacha kuona. Sorry, naomba niishie hapa.
Watu wengi wameumizwa na hii saga POLEPOLE hatukani mtu ametoa hoja wao wanamteka na kummalizaNakuelewa sana mkuu, kuna baadhi ya watu huwa wanachukulia mambo simple sana hata yakiwa na uzito gani, ila twende hivihivi tutaelewana tu. Hakuna marefu yasiyo na ncha. Alikuwepo Gaddafi, Sadam Hussein, Mugabe, etc.. wapo wapi!?, kanuni za hii Dunia ni undefined.. Ukiona giza limezidi ujue kunakaribia kukucha..
Unajua kwanini huwezi kumwelewa?Hilo group lenu la chuo naamini ni la wanafunzi kama ni la wakufunzi, basi safari ya nchi hii ni ndefu sana. Your actions measure your perfection.
Tulipowaambia Polepole ana matatizo ya akili, mlitoa povu na kumuona ni shujaa wenu.
Msomi halisi ni yule anayejua cha kuongea, huku akizingatia wakati na hadhira anayoongea nayo pamoja na matokeo (-/+) tarajiwa kwa anachokiongea
Mimi siamini kama mtu unakuwa msomi walau wa kadigrii kamoja halafu unamuelewa Polepole kwa utoto alikuwa anafanya..