Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Samia The Killer sio mtu wa kawaida. Sitashangaa kuona hao wamama wenyewe wakitekwa, kama wakipaza sauti sana!..kina Mama waliopotelewa na watoto wao waunganishwe wapaze sauti watoto wao wapatikane. Chadema iwatengenezee hawa kina Mama jukwaa.
Cc Erythrocyte