Jerusalem2006
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 433
- 2,109
Unaendelea kudhihirisha nilichosema. Mwanaume akijichanganya aoe mke type yako hakuna rangi ataacha kuona. Sorry, naomba niishie hapa.Wewe ndo utalia na kusaga nywele
Haya maneno yako hayashtui
Kwanza huyo mama ana act tu we yani hatii hata huruma π
hakuna.Wapi kaharibiwa ?
Wenye upendo ni Abdul na Mafwele.π€£π€£π€£π€£
Mama wa kwanza kutojua tabia za mwanae...et HP ana upendooπ
Rudia kuangalia hiyo clip utagundua ninachosema mama HP actress mzuri sana kama vip apelekwe kwa lamataπUnaendelea kudhihirisha nilichosema. Mwanaume akijichanganya aoe mke type yako hakuna rangi ataacha kuona. Sorry, naomba niishie hapa.
Na maanisha wewe Lazima uwe kigagula uzeeni π«΅π€Mama huyu ni muigizaji mzuri aiseeπ€£
Poleπ€£π€£Na maanisha wewe Lazima uwe kigagula uzeeni π«΅π€
Hilo jukwaa pia unaweza ukawatengenezea wewe na familia yako mkiungana! Kwani chadema ni watu kama wewe!
Hahaha yani raha sanaπ€£π€£Write your reply...hahaha raha sana walivyokua wanaumia wengine alikaa kimya ngoja akome
Thanks for this ππΎ very important advice...kina Mama waliopotelewa na watoto wao waunganishwe wapaze sauti watoto wao wapatikane. Chadema iwatengenezee hawa kina Mama jukwaa.
Cc Erythrocyte
Inauma sana. Hii Serikali ya majambazi ni mzigo mzito kwa taifa hili.BBC imezungumza na mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole katika mahojiano maalum.
AnnaMary Polepole amesisitzakatika mahojiano hay kuwa arudishiwe mtoto wake- Humphrey Polepole akiwa hai au amekufa.
Hata hivyo mapema leo, jeshi la polisi lilisema kuwa limeanzisha rasmi uchunguzi wa tuhuma za kutekwa kwa Humphrey Polepole.
Hata hivyo katika taarifa hiyo wameongeza kuwa wanamtafuta ndugu wa Humphrey Polepole, aitwaye Augustino Polepole kuthibitisha tuhuma hizo.
Mwafwele ndio alietajwa hapo maana alishatajwa, Mwafwele hana mke hana dada hana watoto hana ndugu kakodishwa toka Rwanda ni Mtutsi?BBC wamekata kipande chenye maelezo ya muhimu
Mama anaanza kwa kusema "amuachie mwanangu" hiyo ina maana kuna mtu alitajwa hapo ila BBC ikaona ikate hicho kipande.
Sijajua wamefanya hivyo kwa kumlinda huyo Mama au kujilinda wenyewe.
Jana Kuna group letu la chuo Huwa tuna peana update na KUSAIDIANA mambo mbali mbaliii...Unaendelea kudhihirisha nilichosema. Mwanaume akijichanganya aoe mke type yako hakuna rangi ataacha kuona. Sorry, naomba niishie hapa.
Unamwambia nani sasa?Dead or alive, mjuba polepole arudishwe, hatutaki kusoma haijulikani alipo kama kina mdude na wengine waliopotea kwa kutekwa na makaburi yao hayajulikani yapo wapi. Watekaji rudesheni mtoto wa watu mmelaanika
MnafikiInasikitisha sana