Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
duh!anaiomba Serikali msahama
Hata Baba wa Chaula mchoraji akisimama mbele ya Camera utamuita mtafuta Kiki.Huyo mama ni content creator huko mtandaoni hamna lolote anatafuta kiki tu.
Huyu Mama Mpumbavu huwa anaigizaga na yule jamaa muandishi wa habari wa mchongo na huwa ana content za kipuuzi.
Bro kutoka moyoni huyo mama ni content creator namfahamu sema sijui namna ya kuweka video zake. Ngoja nimsearch then nakuwekea picha au video zake.Hata Baba wa Chaula mchoraji akisimama mbele ya Camera utamuita mtafuta Kiki.
Damu za watu zinaelekewa kuwalevya. October 29 mtapaliwa.
hadi siku likikukuta ndo utaamini sio maudhuiHuyo mama ni content creator huko mtandaoni hamna lolote anatafuta kiki tu.
Huyu Mama Mpumbavu huwa anaigizaga na yule jamaa muandishi wa habari wa mchongo na huwa ana content za kipuuzi.
Siungi mkono utekaji bro ila huyo mama ni content creator. Huwa na content za ajabu sana.hadi siku likikukuta ndo utaamini sio maudhui
KamdomoRamso ni mtoto wa pekee kwa Mama yake, lakini mmemteka mpaka leo hajulikani alipo.
Siku kadhaa huyu jamaa alipost yuko porini akisema kuwa kuna watu wanamfuatilia akawa anaiomba Serikali msahama kumbe ni kweli wameshapita nae daah...
Kwa hiyo umefurahi mwenyewe, hivi nyie mna bima za kuishi milele?Kamdomo