GE2025 Mama Ramso: Yapata wiki mbili sasa wananizungusha tu lakini mwanangu sijamuona. Naomba mnisaidie apatikane

GE2025 Mama Ramso: Yapata wiki mbili sasa wananizungusha tu lakini mwanangu sijamuona. Naomba mnisaidie apatikane

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kitendo cha kuua vijana wadogo it totally inhumane, probably kwa kuwa waneshaua sana so naturally they've turned themselves into serial killers. Damu ya waliowaua inawazingua vichwani mwao so for 'sanity' they've to keep on killing, wengine wako humu JF you can tell from their comments.
Exactly they must have been too cold-hearted serial killers now after mowing down so manny innocent lives.

Imagine taking the life of poor teenager for petty offense that could've been merely responded by warning.

Hawa watu ni mashetani sana, wamejipa mamlaka ya kuondoa uhai wa watu utafikiri wao ndio wanaougawa.

Yaan

Ni kweli kabisa hata humu jf wamo wengi tu wanakuja kuskilizia reactions za watu wakishafanya matukio huko.

Naskia siku hizi kwenye viuo vya polisi kuna dawati maalumu la kufanya patroo mitandaoni kuangalia comments za watu wanaomtukana raisi, kisha baada ya hapo wanawatafuta na kuwashughulikia... inahuzunisha na kushangaza kuona linalojiita jeshi la polisi limefikia hatua hii
 
Dah, ukatili wa hali ya juu sana. Yeye na machawa wake watakwambia huu ni utu, kwamba wanalinda amani, umoja na mshikamano wa Taifa kwa vitendo vyao hivi viovu, vya kikatili. Maisha ya Watanganyika na kuku kwao hakuna tofauti.
Duniani hapa tumeshuudia tawala nyingi za kibabe na za kidikteta za akina Bokassa,Idd Amin,Juan Velasco Alvarado,Agusto Ramon Pinochet, Sani Abacha,Adolf Hiltre....

...na ziliua sana wakosoaji wao, ila sijawahi kuona tawala ya kipumbavu kama hii tulionayo sisi.

Yaan unapoteza uhai wa vijana wadogo ambao hawana impact wala hatari yoyote kwenye utawala wako?

Kwamba sasa hivi kulinda utu na amani ni kuonesha mapenzi kwa samia? So yeyote asiyempenda samia ni hatari kwa taifa na hafai kuishi?

Aises inauma sana... lakin naamin wanajeshi wetu wanayaona haya matukio yote
 
Back
Top Bottom