GE2025 Mama Ramso: Yapata wiki mbili sasa wananizungusha tu lakini mwanangu sijamuona. Naomba mnisaidie apatikane

GE2025 Mama Ramso: Yapata wiki mbili sasa wananizungusha tu lakini mwanangu sijamuona. Naomba mnisaidie apatikane

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
"chonde chonde mwanangu Ramso katika tumbo langu ni huyu mmoja tu na ndio ninamtegemea"

...hayo maneno hapo juu yameniumiza sana nusu kunitoa machozi,

Kinachotia ghadhabu zaidi ni kwamba ukatili huu una baraka za mwanamke kutoka juu, kiukweli moto atakaochomwa samia ni mkali sana.
 
Lini imetokea hii habari?
Kama uliona kuna clip moja ya madogo wanaponda bango la picha ya samia wiki mbili zilizopita huku wanatukana....

...inavyosemakana ndio wale ambo miili yao imeokotwa kule kibaha.

Hakika ni ukatili ambao umechanganyikana na upumbavu wa hali ya juu.

Hata makundi ya kigaidi huwa hayafanyi ukatili wa kijinga kama huu.
 
Dah, ukatili wa hali ya juu sana. Yeye na machawa wake watakwambia huu ni utu, kwamba wanalinda amani, umoja na mshikamano wa Taifa kwa vitendo vyao hivi viovu, vya kikatili. Maisha ya Watanganyika na kuku kwao hakuna tofauti.
 
Sasa mamake kamanda analia lia nini,?

Bila shaka alikuwa anafaidika na nyendo za mtoto wake, sasa analia nini?

Halafu watu walishafanya hii nchi kama seble zao ee?
 
Wiki iliyopita wameokota miili yao Kidimu vichakani njia ya kuelekea Vikawe/Baobab/Mapinga
Hii miili imeweza kutambuliwa kwa uhakika na ndugu zao au imeharibika kiasi cha kuwa vigumu kutambulika?
 
Huyo mama ni content creator huko mtandaoni hamna lolote anatafuta kiki tu.

Huyu Mama Mpumbavu huwa anaigizaga na yule jamaa muandishi wa habari wa mchongo na huwa ana content za kipuuzi.
Hivi nyie wapumbavu kwanin hamna kabisa utu nyie?

Unajua machungu anayopitia huyo mama muda huu baada ya kumpoteza mtoto wake wa kipekee?

Kwamba mmeshamwaga sana damu za watu kana kwamba hamna tena hata chembe ya ubinadamu?

Hivi mnafiki hicho kiburi mtakuwa nacho milele?

Nakuombea kwa Mungu akulaani wewe na ukoo wako wote.

Unaona uhai wa mtu ni kitu chepesi eti ehee? Washamba wakubwa nyie na huyo mama yenu.
 
Hii mambo ya kutekana, mpaka mabalozi, kuna siku Kikwete mwenyewe atajikuta wamemteka, Mama naye asifiri atakaa hapo, siku akitoka atashangaa naye wanamteka, haya mambo huwa yanaanza hivihivi, watu wanazoea kutenda kinyume na utaratibu
 
Vijana wadogo kama huyu yafaa kumuonya tu. Atajirekebisha.
You can't kill everybody. Amin tried it but ended killing 300k only.
Katika jicho la kishetani kumteka/kumuondoa mtu kama Polepole ni understandable maana inafahamika alikuwa ni very threat kwa utawala hasa hiyo deep state...

Haya mtoto kama huyo ana tishio gani kwa huu utawala??

Huyo mtoto si wangeweza kumkamata na kumchalaza viboko tu kisha wakamwambia october aende akatick na angebadilika na kuwa mtiifu?

Aisee ninachoona hapa magenge yaliyopewa hii kazi ya kishetani ya kudeal na wakosoaji yamejaa vilaza tupu, yaani wanachojua wao ni kuua tu wapumbavu hao, hawajui hata watu sahihi wa kudeal nao....

Sema watanzania tunaumizwa sana na huu utawala wa watu wenye akili ndogo, itabudi kila mmoja wetu ajitafakari kivipi watu 67m tunakubali kupewa maumivu makali hivi na watu wachache wasiokuwa na akili hata kidogo.
 
Hii mambo ya kutekana, mpaka mabalozi, kuna siku Kikwete mwenyewe atajikuta wamemteka, Mama naye asifiri atakaa hapo, siku akitoka atashangaa naye wanamteka, haya mambo huwa yanaanza hivihivi, watu wanazoea kutenda kinyume na utaratibu
Baada ya huu utawala kupita tutakuwa tunaishi kwa visasi sio poa ndugu, familia ya samia na kikwete zitaandamwa sana miaka ya mbeleni huko

Mfano mzuri ni familia ya Jose Eduardo Dos santo wa Angola jinsi inavyoandamwa sasa hivi baada ya kuwatesa waangola kwa kipindi kurefu sana
 
Hayo ni maisha yake binafsi.ila haifuti kuwa yeye ni muislam.
Waswahili huwaita hao wa sampuli hizo 'muislamu jina'.
Anyway, born and raised hivyo ni kweli kuwa ushangingi wake na ulevi wake havimbadilishi dini yake, dini ni Imani japo majuha wengine husema dini ni matendo
 
Katika jicho la kishetani kumteka/kumuondoa mtu kama Polepole ni understandable maana inafahamika alikuwa ni very threat kwa utawala hasa hiyo deep state...

Haya mtoto kama huyo ana tishio gani kwa huu utawala??

Huyo mtoto si wangeweza kumkamata na kumchalaza viboko tu kisha wakamwambia october aende akatick na angebadilika na kuwa mtiifu?

Aisee ninachoona hapa magenge yaliyopewa hii kazi ya kishetani ya kudeal na wakosoaji yamejaa vilaza tupu, yaani wanachojua wao ni kuua tu wapumbavu hao, hawajui hata watu sahihi wa kudeal nao....

Sema watanzania tunaumizwa sana na huu utawala wa watu wenye akili ndogo, itabudi kila mmoja wetu ajitafakari kivipi watu 67m tunakubali kupewa maumivu makali hivi na watu wachache wasiokuwa na akili hata kidogo.
Kitendo cha kuua vijana wadogo it totally inhumane, probably kwa kuwa waneshaua sana so naturally they've turned themselves into serial killers. Damu ya waliowaua inawazingua vichwani mwao so for 'sanity' they've to keep on killing, wengine wako humu JF you can tell from their comments.
 
Kumbe Abdul ni uzao wa penzi la kiwete na kiziwi wazee ndo maana hagusiki
 
Back
Top Bottom