GE2025 Mama Ramso: Yapata wiki mbili sasa wananizungusha tu lakini mwanangu sijamuona. Naomba mnisaidie apatikane

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Utekaji na kupotezwa kwa watu JPM alianzisha akiwa makamu wake SSH. Sasa baada ya SSH kuwa mshika usukani kaamua kumalizia kabisa na tena kapitiliza zaidi. Kinachonishangaza kwa SSH, sijaona hata akilisemea suala la utekaji kwenye kampeni zake; kwa hiyo yy kwake haoni kama ni tatizo ambacho ni kitu hatari sana.​
Ndo namkumbusha hapa.miaka 5 sio Mingi.atamaliza muda wake na kuacha historia mbaya katika uongozi wake na bado atakuwa na kesi ya kujibu
 
Mama asijali mtoto wake ni jasiri inawezekana ameingia porini na wenzake kwenda kutengeneza kikundi cha waasi aje kupindua nchi maana alisema hamtaki Samia, kwahiyo mama asiwe na presha dogo atakuja kukomboa nchi
 
Sasa hv iko wazi kbs, yeyote anayempinga sa100 yuko hatarini!.
 
Kuna mambo mengine ni ya kujitakia kabisa!

Unajua fika Hali ya taifa letu kwa Sasa kwamba ushindi wa kisiasa was mwanasiasa ni muhim kuliko uhai was raia wa kawaida halafu unarekodi video vya kijinga kama hivyo!!?

Mama ramso ungeomba radhi mapema kabla hayajamkuta mwanao!
kwa hiyo kwako alichofanyiwa ni sawa??
 
Watu wamekuwa katili kupitiliza aise fikiria wale vijana walioponda mabango wameuwawa watoto wadogo kabisa unyama gani huu hatujawahi shuhudia kwani mtu kama hakupendi ndo umuondoe uhai?
Na yule aliyechoma picha Wa Mbeya hadi leo hajulikani kama yupo hai au amekufa
 
Mama asijali mtoto wake ni jasiri inawezekana ameingia porini na wenzake kwenda kutengeneza kikundi cha waasi aje kupindua nchi maana alisema hamtaki Samia, kwahiyo mama asiwe na presha dogo atakuja kukomboa nchi
Ndugu wa muislam ni muislam mwenzake, kobazi mnafurahi mkisikia kafiri kauliwa
 
Kweli wanawachukua na kuwaua au kuna sehemu wanawekwa?
 
Sidhani kama

sidhani kama kuna sehemu kubwa ya kuhifadhi watu wote hawa isijulikane kwa Bongo hii, watu waliotekwa ni wengi sana kuwekwa sehemu bila kuvuja…ni wanauwawa na kutupwa sehemu tofauti tofauti…ayo ndo mawazo yangu
 
Inawezakana wakawa wanatengeneza maandaki na kuwaweka chini uko, na kupanga kumpoteza mmoja baada mwingine kama vile kuchukua kuku
 
Kuna mambo mengine ni ya kujitakia kabisa!

Unajua fika Hali ya taifa letu kwa Sasa kwamba ushindi wa kisiasa was mwanasiasa ni muhim kuliko uhai was raia wa kawaida halafu unarekodi video vya kijinga kama hivyo!!?

Mama ramso ungeomba radhi mapema kabla hayajamkuta mwanao!
Ramso hajavunja sheria, ametoa maoni yake na kama kutoa maoni ni kuvunja sheria walipaswa kumpeleka mahakani yes mahakama hizihizi za mchongo zinazofuata maelekezo na orders kutoka ‘juu’ kwani at least mama yake angejua mwanae alipo.
 
Watu wamekuwa katili kupitiliza aise fikiria wale vijana walioponda mabango wameuwawa watoto wadogo kabisa unyama gani huu hatujawahi shuhudia kwani mtu kama hakupendi ndo umuondoe uhai?
Lini imetokea hii habari?
 
Back
Top Bottom