GE2025 Mama Ramso: Yapata wiki mbili sasa wananizungusha tu lakini mwanangu sijamuona. Naomba mnisaidie apatikane

GE2025 Mama Ramso: Yapata wiki mbili sasa wananizungusha tu lakini mwanangu sijamuona. Naomba mnisaidie apatikane

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ramso ni mtoto wa pekee kwa Mama yake, lakini mmemteka mpaka leo hajulikani alipo.

Siku kadhaa huyu jamaa alipost yuko porini akisema kuwa kuna watu wanamfuatilia akawa anaiomba Serikali msahama kumbe ni kweli wameshapita nae daah...

Sasa hivi utawala wa huu mshangazi wa Kizimkazi ukimkosoa tu unauawa na maiti inapotezwa, vijana wadogo kama hao wewe Abdul na Mafwele mnasikia raha gani mkiwaua?
 
Huyo mama ni content creator huko mtandaoni hamna lolote anatafuta kiki tu.

Huyu Mama Mpumbavu huwa anaigizaga na yule jamaa muandishi wa habari wa mchongo na huwa ana content za kipuuzi.
Kwahiyo mwanae yuko wapi? Content creator hairuhusiwi kulalamika mwanae akitekwa? Mbona polisi hawamkamati kwamba anasingizia mwanae kutekwa? Mbona hata jirani zake hawasemi kama anaudanganya umma wa Watanzania?
 
Huwa naiwazia hii familia yangu changa kuweka neti, kuweka dawa ya mbu kwenye kimtambo mpaka Mimi, mtoto akichemka au kuumwa mpaka Mimi, Kila kitu mpaka Mimi..JE ?! Nisipo KUWEPO watajifunza kwa njia ngumu... of course siogopi kufa.
 
ila ukiumwa unawahi hospitali sio?

fullstop, kwishaaa
 
Huwa naiwazia hii familia yangu changa kuweka neti, kuweka dawa ya mbu kwenye kimtambo mpaka Mimi, mtoto akichemka au kuumwa mpaka Mimi, Kila kitu mpaka Mimi..JE ?! Nisipo KUWEPO watajifunza kwa njia ngumu... of course siogopi kufa.
Kwa nini tujenge mawazo ya kufa badala ya kupambana kwa hoja, kuwafichua wahalifu (watekaji na wauaji) ili kujenga taifa lenye umoja na mshikamano.
Lazima tuwajengee watoto wetu na vizazi vijavyo ujasiri na matumaini ya kushinda uovu, washirikiane kujenga umoja wa kijamii na kitaifa.
Watu wasiwe na fikra za kuishi kwa hofu kama panya.
Fuata sheria, fichua uhalifu, Jenga hoja zenye mantiki bila hofu.
Raia wengi ni wema, wahalifu ni wachache Sana.
 
Huyo mama ni content creator huko mtandaoni hamna lolote anatafuta kiki tu.

Huyu Mama Mpumbavu huwa anaigizaga na yule jamaa muandishi wa habari wa mchongo na huwa ana content za kipuuzi.
We nawe tako kweli kweli kwa hiyo akiwa content creator basi anakuwa hana kizazi? Kwamba hawezi kuwa na mtoto sindio? Mbona CCM mmekuwa wajinga wajinga hata kufikiri amnashindwa kabisa kwa sasa
 
Back
Top Bottom