GE2025 Mama Ramso: Yapata wiki mbili sasa wananizungusha tu lakini mwanangu sijamuona. Naomba mnisaidie apatikane

GE2025 Mama Ramso: Yapata wiki mbili sasa wananizungusha tu lakini mwanangu sijamuona. Naomba mnisaidie apatikane

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mama damu hizoo.
Damu ya binadamu inatisha.
Wewe ni mtoto wa kiislam.imani Yako inakufundisha maisha baada ya hapa Duniani na utakwenda kuulizwa.
 
Bro kutoka moyoni huyo mama ni content creator namfahamu sema sijui namna ya kuweka video zake. Ngoja nimsearch then nakuwekea picha au video zake.

Sisapoti utekaji ila kwa huyu simuamini.
Toka mwanzo wa mada, kabla sijakusoma huko juu, mimi pia nilikuwa na mashaka na habari hii; pamoja na kwamba hawa watu sijawahi kuwaona wala kuwasikia.

Hii ni taarifa mbaya kama ni ya kweli, lakini pia namna ilivyo inatia mashaka.

Ninasikitika sana kama mambo ya namna hii yataanza kufanywa kuwa mzaha au sehemu ya kutafutia pato! Itasikitisha sana..
 
Kwa nini tujenge mawazo ya kufa badala ya kupambana kwa hoja, kuwafichua wahalifu (watekaji na wauaji) ili kujenga taifa lenye umoja na mshikamano.
Lazima tuwajengee watoto wetu na vizazi vijavyo ujasiri na matumaini ya kushinda uovu, washirikiane kujenga umoja wa kijamii na kitaifa.
Watu wasiwe na fikra za kuishi kwa hofu kama panya.
Fuata sheria, fichua uhalifu, Jenga hoja zenye mantiki bila hofu.
Raia wengi ni wema, wahalifu ni wachache Sana.
Tafakarii kubwa Sanaa wengi wamechagua kua kimyaa..

Maisha ni safari..Najiuliza kwani POLEPOLE aliamua kuongea? Kwa Sasa kuwa mkweli unakua adui wa TAIFA 🙌

Hii nchii imefikia mtu kusema/ ku speak mind ni uhainiii?!

Huwa naenda jukwaa la historia Kuna mambo mengi yamefanya ni change mind...kuhusu siasa za TAIFA letu.
 
Changamoto ni watu kushindwa kutofautisha loyalty ya binadamu na ile ya wanyama kama mbwa.
Sote tunatakiwa kuwa loyal kwa mamlaka halali za utawala wa nchi.
Hata hivyo, kutoa maoni tofauti hakumaanishi wewe siyo loyal, hapo ndipo wale wenye loyalty ya mbwa wanang'ata hata kabla ya maagizo ya bwana wao (wakati mwingine kwa kujipendekeza tu).
Elimu kuhusu loyalty kwa Rais inahitajika Sana.
 
Bro kutoka moyoni huyo mama ni content creator namfahamu sema sijui namna ya kuweka video zake. Ngoja nimsearch then nakuwekea picha au video zake.

Sisapoti utekaji ila kwa huyu simuamini.
Inabadilisha nini hata kama ni content creator? Si inasaidia kuliangazia suala hilo mwanga zaidi
 
Bro kutoka moyoni huyo mama ni content creator namfahamu sema sijui namna ya kuweka video zake. Ngoja nimsearch then nakuwekea picha au video zake.

Sisapoti utekaji ila kwa huyu simuamini.
Akiwa Content Creator ndio hawezi kufikwa na madhila? Ni bora kungekuwa hakuna taarifa zaidi lkn uzi unajieleza na viambatisho ametoeka toka October 7 lakini bado unashupaza shingo... haya nenda polisi kahakikishe!
 
We nawe tako kweli kweli kwa hiyo akiwa content creator basi anakuwa hana kizazi? Kwamba hawezi kuwa na mtoto sindio? Mbona CCM mmekuwa wajinga wajinga hata kufikiri amnashindwa kabisa kwa sasa
Sema matako kwelikweli ukamilishe sentensi kijana
tako 1 Matako 2 na kila kitu package kabisa usitupoteze ramani.
 
Vijana wadogo kama huyu yafaa kumuonya tu. Atajirekebisha.
You can't kill everybody. Amin tried it but ended killing 300k only.
 
Mama damu hizoo.
Damu ya binadamu inatisha.
Wewe ni mtoto wa kiislam.imani Yako inakufundisha maisha baada ya hapa Duniani na utakwenda kuulizwa.
Utekaji na kupotezwa kwa watu JPM alianzisha akiwa makamu wake SSH. Sasa baada ya SSH kuwa mshika usukani kaamua kumalizia kabisa na tena kapitiliza zaidi. Kinachonishangaza kwa SSH, sijaona hata akilisemea suala la utekaji kwenye kampeni zake; kwa hiyo yy kwake haoni kama ni tatizo ambacho ni kitu hatari sana.​
 
Hata mimi hili ndo linalonishangaza, Maendeleo ya vitu hayana maana kama uhai wa watu wako upo matatani, watu wanatekwa na kuuwawa alafu unazungumzia barabara sijui nn…ina maana uhai wa watu hauna thamani kwake…Raisi wa ajabu kweli kweli…
 
Watu wenye uwezo mdogo ukiwapa madaraka hutokea mambo kama haya wanadeal na watu ambao ni wa kuwapotezea tu
 
Kuna mambo mengine ni ya kujitakia kabisa!

Unajua fika Hali ya taifa letu kwa Sasa kwamba ushindi wa kisiasa was mwanasiasa ni muhim kuliko uhai was raia wa kawaida halafu unarekodi video vya kijinga kama hivyo!!?

Mama ramso ungeomba radhi mapema kabla hayajamkuta mwanao!
 
Back
Top Bottom